Binti miaka 16 atoa siri za freemason

Waongoo wakiendekezwa siku moja watakuja kutufanya kama kibwetere alivyo waghiribu watu kule ug
 
hahahahaaaa naomba ifahamike kuwa freemanson hausishi wanawake ila ile na brotherhood. huyo binti anajitafutia umaarufu.
 
The illuminat, Freemason na Uchawi, vyote ni watoto wa baba mmoja, Lucifer. Kwa mtiririko wa story hii, haka kabinti ni ka-chawi tu!

Halafu hiyo ya kunyonya damu kwa ku-touch the screen naona kama ni uongo mtupu! Inarukaje hiyo damu toka kwenye simu kwenda Amerika?
 
Freemason hausiani na uchawi jamani ila ni uchunguzi Wa mambo makuu ya Mungu Kwa kupitia mazingira tuliyonayo. Na hawa watu ndiyo wanaotoa misaada kijamii Kwa wingi duniani.
 
Kama ndivyo
Ameruka naniliu amekanyaga nanilii
 
"One a Mason Forever a Mason"

Hamnaga Freemason wa ivyo na mjue kutofautisha Freemason na Ujinga ujinga wenu wa kichawi na kuwanga.

Mnatamani kuingia huko ila tatizo si kila anaetamani hufanikiwa,hako katoto ni kachawi tu kama wachawi wengine kateseni tuuu ila msidanganye watu alikua freemason.

Hamnaga mtu anaingia Freemason kwa bahati mbaya na ukishaingia kitachokutoa ni kifo ila kama uko hai maisha yako yote ni ya u MASON.

Shigongo ndio mana sisomagi magazet yake.
 
Unapoongelea Freemason ujue unamuongelea Shetani direct na wala sio hivi vi mawakala vya shetani au wajumbe wa shetani..Freemason ni Lucifer mwenyewe Mali zote za dunia hii zipo mikononi mwake anaweza vitumia na kumpa atakae.

Ukishaniambia tu eti ulipanda ungo au ulitokea kimiujiza tayari umeshanitoa kwenye reli ya kuamini unachoongelea kuhusu Freemason..wala freemason hawajifichi fichi mikutano,vikao vyao vinafanyika mchana kweupeeeee.

Jengo lao kila mtu anajua hadi lilpo ila sio vibanda vya waganga vimefichwa mpk shida maana sharti tu la kuwa mganga Leseni wanayo Freemason..ebu tutolee story yako ya kutunga.

ningekua bungeni ningechana gazeti hilo kama yule mbunge...
 
waTz tuache uvivu wwa kufikiri, sasa hao wamarekani wanaibaje damu yangu kwa screentouch?, ina maana kuna kachupa ndani ya simu kanakohifadhi au inasafirishwaje direct kwa mie kubonyeza kioo?..
Hawa Global nao upuuzi tu na magazeti yao ya kidaku, sijui kwanini yanapata soko mpaka leo!..
 
Habari yenyewe imetoka kwenye gazeti la udaku hawa jamaa si wakuwamini kabisa, wapeleke uongo mbele
 
Asante my dear nimepata. Barikiwa Sana jamani
 
Mleta mada alistahili kuchapwa fimbo za kutosha kwa uzi huu!
 
Nikishaonaga point ROHO WA MUNGU ALINIJIA AKANAMBIA,,,natupa kundi la manabii wa uongo wanaotafuta kiki
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…