Watu8 Platinum Member Joined Feb 19, 2010 Posts 76,283 Reaction score 108,299 Apr 25, 2014 #21 Evelyn Salt said: Nilete kahawa na kashata ngapi eti? Click to expand... Za kututosha sote hapa... King'asti said: Aisee, pitia kwangu jioni tunywe kahawa kwa porojo. Ila ubebe kashata basi Click to expand... Kashata ataleta Evelyn Salt Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
Evelyn Salt said: Nilete kahawa na kashata ngapi eti? Click to expand... Za kututosha sote hapa... King'asti said: Aisee, pitia kwangu jioni tunywe kahawa kwa porojo. Ila ubebe kashata basi Click to expand... Kashata ataleta Evelyn Salt
Watu8 Platinum Member Joined Feb 19, 2010 Posts 76,283 Reaction score 108,299 Apr 25, 2014 #22 King'asti said: Stendi kuu ama soko kuu wewe? Nje ya kihotel flani kilikuwa na sambusa msisimko along hiyo barabara inaenda kutokea jogoo house. wale kahawa zao niliambiwa wanachanganya na mavi ya mbuzi nikaziacha. Mie naroast mwenyewe hehehe Click to expand... Ndio hapo hapo soko kuu, ile barabara inayoelekea Bondeni Sec (sijui kama hii shule bado ipo) tokea huku Jogoo... Hahahah...eti wanamix na mavi ya mbuzi loh
King'asti said: Stendi kuu ama soko kuu wewe? Nje ya kihotel flani kilikuwa na sambusa msisimko along hiyo barabara inaenda kutokea jogoo house. wale kahawa zao niliambiwa wanachanganya na mavi ya mbuzi nikaziacha. Mie naroast mwenyewe hehehe Click to expand... Ndio hapo hapo soko kuu, ile barabara inayoelekea Bondeni Sec (sijui kama hii shule bado ipo) tokea huku Jogoo... Hahahah...eti wanamix na mavi ya mbuzi loh