Binti huyu ameniharibia weekend yangu!

Lakini baada ya kumbembeleza sana alikubali kunisikiliza nami baada ya kujitambulisha tuliongea mengi naye akanieleza sio mwenyeji wa hapa ila alikuwa masomoni ndo amehitimu chuo na amekuja kumsalimia mama yake mkubwa.
na mume katoka wapi tna mkuu
 
Badilisha avatar tukushauri zaidi utazidi kuharibikiwa
 
Ndio maana wengi wanakimbilia kwa dada poa wale hawana usumbufu mnaelewana tu, wadada wa mitaani hawa ndio hivyo full stress, ona hapo hasara ya guest, tax, vinywaji na vocha, ndio maana kona bar huwa panafurika sana.
 
Hilo dili jombaa.
Hapo ungepigwa pesa kama 1M hivi kama wangefanikiwa kukufumania.
 
Yaani wewe,unaingia guest peke yako unasu biri mtu usiyemjua!
 
Yaani wewe,unaingia guest peke yako unasu biri mtu usiyemjua!

Hii story ni ya muda kidogo halafu ni kama ni ya uongo, unajua kabisa unaenda kukutana na mtu gest, kwa nini usinunue kondom mapema?

Halafu eti unaondoka chumba unakiacha wazi.

Labda.
 
Braza mshukuru Mungu sana maana ungechapwa kama mbwa cku hio.
 
Mamaaaaaaaaaaaaeeee bahati yako ....walikuwa wanakutanua malinda yako bila ata KY ,mungu wako mkubwa sana unamachale sana.
 
Mungu a nakupenda acha uhuni owa utulie
 
Wala usiogope siku nyingine kama humuelewielewi binti akija inakodi kabisa mabaunsa sita ... Wanakaa koridoni wakija kufanya fumanizi wanakuta umeimarisha ulinzi mtu mke wake na anapigwa ...


Mke unamegewa ukienda kufumaniwa unapigwa ... Wife akirud anakukatalia maana hukumfuma
 
ha ha ha ha ah ha ah aise pole, yani unafahamiana na demu jana leo waenda ku "do" jamani nyie wanaume majasiri, mtakuja lala na majini, na huyo dada mbona mrahisi hivyo mweeeee, ila mshkuru Mungu saa hizi ingekuwa kuna story nyingine.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…