mwehu ndama
JF-Expert Member
- Nov 12, 2019
- 2,462
- 9,498
Kama mama yake mdogo Jenister hajapewa akae tu huko sisiemuhuyu Binti alijivika uchawa kiasi cha kuivuka level ya uchawa na kusimikwa rasmi kama kalikonji wa samia ..alikua mstari wa mbele kumpigia debe samuya,
Nakuwapa vitisho waaandamanaji..Nataka kujua kama samia kamkumbuka katika serikali yake batili ya mpito
Hakuna mwenye bahati ya kua mke kati yao, wote ni mahawala tu wa mr. smile.Mtu na mke mwenzie awawezi kupendana
Pamoja na kugalagala kote kule kwenye vumbi kama mwendawazimu!Kama mama yake mdogo Jenister hajapewa akae tu huko sisiemu
ππππPamoja na kugalagala kote kule kwenye vumbi kama mwendawazimu!
Eti ndiyo njia yenu hiyo ya kuonesha ukarimu kwa wageni! Wanawake wa Kisambaa hawana ujinga kama huo wa kwenu wa kugalagala hovyo kwenye mavumbi.ππππ
Wangoni tumefikiwa sasa. πππππEti ndiyo njia yenu hiyo ya kuonesha ukarimu kwa wageni! Wanawake wa Kisambaa hawana ujinga kama huo wa kwenu wa kugalagala hovyo kwenye mavumbi.
Fanya jambo nikile kinyeo hichoπ π πWangoni tumefikiwa sasa. πππππ