Binti anapoolewa, kwanini familia hufurahi?

..wanafurahi coz wanaepukana na mabinti kudodea nyumbani..!

hawajui kwamba binti yao anaenda kuzamishiwa mzizi,regardless kwamba atauweza au vipi lazima auvumilie mpaka kijeba kitosheke.hilo hawamuonei huruma
 
Childish thread.

nifundishe mkuu ,kwa nini unafurahi pale binti yako akiolewa angali unajua anaenda gegedwa tena pengine na mtu mwenye msumari wa nchi 9?
 
Hebu uliza kwanza familia yako au jamii inayokuzunguka ukikosa jibu nitakupa msaada mwingine wa mawazo
 
Kwa sababu Ugegedwaji umepata idhini/certified sexual intercourse!🙁

kwani anapogegedana na mtu kabla ya ndoa si wanakuwa wamepata idhini ya mioyo yao kukubaliana?
 
Hebu uliza kwanza familia yako au jamii inayokuzunguka ukikosa jibu nitakupa msaada mwingine wa mawazo

nimekosa jibu,nijibu wewe,kwa nini wazee watafurahi angali wanajua jamaa mwenye kilo 80 anaenda kulala juu yako wewe mwenye kilo 60, nilitegemea wahuzunike.
 
Siku ya harusi wazazi wanafurahi kwasababu binti amewapa heshima,anaenda kugegedwa kwa heshima zote,ndo maana hata kwenye nasaha wanasema asante mwanetu kwa kutuheshimu
 
Siku ya harusi wazazi wanafurahi kwasababu binti amewapa heshima,anaenda kugegedwa kwa heshima zote,ndo maana hata kwenye nasaha wanasema asante mwanetu kwa kutuheshimu

hawamuonei huruma anapokwenda kugegedwa?
 
Viol mkuu umemaliza.

Sina cha kuchangia
 
Last edited by a moderator:

Tendo hilohilo likifanyika nje ya ndoa linaitwa uzinzi.
Likifanyika ndani ya ndoa linaitwa tendo la ndoa.
Tendo hilohilo likifanyika bila ridhaa ya muhusika linaitwa ubakaji
Ndio tofauti yake.
 
hawamuonei huruma anapokwenda kugegedwa?

Kugegedwa kwa kibali maalum hata haiwaumi tena na mama na mashangazi wanamfundisha namna nzuri ya kugegedana shida pale ambapo hamna kibali
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…