talaka si iko pale pale lakini?kama ni kukimbiwa atakimbiwa tu
Talaka Mara chache sana pia wazazi wa pande zote wana la kusema ikitokea mtafaruku pia sheria inawatambua
Imekuwa ni kawaida wazee kuchukia watoto wao wa kike kugegedwa, lakini siku binti anaolewa wazazi huruka ruka na kusherehekea lakini kwa uhalisia ni kwamba binti yule anaenda kuanza maisha ya kugegedwa mfululizo, na wanapotoka kwenda honeymoon wazazi na makaka hufurahi na kujitapa kwa dada yetu kaenda honeymoon hoteli fulani au mkoa fulani ambapo kiuhalisia anaenda kugegedwa usiku na mchana tena pengine anafanyiwa hard kugegedwa(ile kugegeda kama vile ni vita).
Sasa najiuliza mbona hapo wanafurahia lakin kabla ya hapo wanakuwa wakimuonea choyo na kuita tendo la kugegedwa kama tabia mbaya na kumfungia ndani?
Angali kitendo ni kilekile,hata akiwa akiolewa anaweza achika na hata akiwa home akigegedwa bado anayemgegeda anaweza kuwa akimpa matunzo?
Nilitegemea hata siku ya harusi wazazi wawe vichwa chini kuhuzunika kuwa binti yao anaenda kugegedwa with no limit, lakini nashangaa wanafurahi kuruka ruka na vigelegele.Hembu nielewesheni wadau maana hii inanitatiza.
nadhani umeangalia suala zima la ndoa katika kipengele kimoja tuu , wakati falsafa ya ndoa nibpana sana. kwa ufupi
1. binti akiolewa anapata stara yaani anakuwa na mume ambae anamtimizia haja zake kihalali hili linaepusha aibu ya kutembea na wanaume mbalimbali na pia kumuepusha na magonjwa
2. mwanamke akiolewa wazazi wanafurahi kwa sababu pia anaenda kuendeleza uzao kwa halali
3. wazazi wanafurahi pia kwa sababu tunaingeza udugu na familia ya mume
4. kwa baadhi ya familia wanafurahi kupunguza majukumu ya kumlea kwa wale wenye uwezo mdogo wa kipato.
mengine utajuzwa na wengine
kugegedwa ndani ya ndoa sio dhambi, bali kugegedwa ukiwa hujaolewa ni dhambi, wazazi wanafurahi kuwa mwanae ameepukana na hiyo dhambi...
mbali na kugegedana kupitia ndoa ya binti yao wazazi wanaweza wakafaidika na mambo mengi tu,...
pia ndoa ni jambo jema, hivyo si mbaya wakifurahi
hizo ndoa me sijui kama MUNGU anazitambua kwa hiyo siwezi kuzizungumzia......unazungumzia suala la dhambi,angali ndoa zingine ni za jadi,zingine za mahakamani. sasa hapo vipi?kuhusu kufaidika mbona wanaweza kufaidika tu kama jamaa atakuwa anamuhudumie huyo mpenzi wake?
tabibumtaratibu inatakiwa wazazi wahuzunike maana binti yao anaenda kuvurugwa kitandani?
Imekuwa ni
kawaida wazee kuchukia watoto wao wa kike kugegedwa, lakini siku binti
anaolewa wazazi huruka ruka na kusherehekea lakini kwa uhalisia ni
kwamba binti yule anaenda kuanza maisha ya kugegedwa mfululizo, na
wanapotoka kwenda honeymoon wazazi na makaka hufurahi na kujitapa kwa
dada yetu kaenda honeymoon hoteli fulani au mkoa fulani ambapo
kiuhalisia anaenda kugegedwa usiku na mchana tena pengine anafanyiwa
hard kugegedwa(ile kugegeda kama vile ni vita).
Sasa najiuliza mbona hapo wanafurahia lakin kabla ya hapo wanakuwa
wakimuonea choyo na kuita tendo la kugegedwa kama tabia mbaya na
kumfungia ndani?
Angali kitendo ni kilekile,hata akiwa akiolewa anaweza achika na hata
akiwa home akigegedwa bado anayemgegeda anaweza kuwa akimpa matunzo?
Nilitegemea hata siku ya harusi wazazi wawe vichwa chini kuhuzunika kuwa
binti yao anaenda kugegedwa with no limit, lakini nashangaa wanafurahi
kuruka ruka na vigelegele.Hembu nielewesheni wadau maana hii
inanitatiza.
hizo ndoa me sijui kama MUNGU anazitambua kwa hiyo siwezi kuzizungumzia......
kuhusu swala la kuhudumiwa, mwanamke ambae hajaolewa ata siku mwanaume akikataa kumuhudumia hawezi kwenda kulalamika popote, atakachofanya ni kurudi kwao tu...
lakini kama ameolewa anaweza ata kumshtaki kwa wazazi pande zote mbili au kwenda hata mahakamani.....