Bint wa darasa la nne atoroshwa shule na baba yake ili aolewe

Bint wa darasa la nne atoroshwa shule na baba yake ili aolewe

dibwinhe

Senior Member
Joined
Feb 12, 2013
Posts
102
Reaction score
35
Bint wa Darasa la nne katika shule ya msingi kihansi iliyopo morogoro, leo ametoroshwa na baba yake wa kambo na kupelekwa kijiji kingine kwa ajili ya maandalizi ya ndoa,mzee huyo ambaye si mara ya kwanza kufanya hivyo,nilipo muuliza huyu mzee alisema akili ya shule hana hivyo ni vizuri kumtafutia mume,bint analia lakini mzee anatumia nguvu,mama mzazi wa mtoto huyu anamuogopa mumewe anasema nikikataa jambo hilo nami nitapigwa
 
Huyo mtoto nae umri wake ukoje? Maana nashindwa hata kushangaa
 
Huyo mtoto nae umri wake ukoje? Maana nashindwa hata kushangaa

ana miaka 12,hii ni mara ya pili kumuachisha shule,alimuachisha shule akiwa darasa la pili akakaa miaka kama miwili nyumbani,ndipo msamaria mwema alimpeleka shule lakini leo amemchukua ghafla na kutokomea kusikojulikana akidai umri wa kuolewe umeshakaribia
 
Kha huyo baba hamna kabisa kumkichwa au kwasababu sio mtoto wake wa kumzaa?Mhhh 12 is too young a kid should be left to be a kid anakomazwa tu huyo mtoto kabla umri wake...
 
inasemekana kwa sasa huyu mtoto yupo morogoro kirombelo katika kijiji cha mlimba
 
Back
Top Bottom