Binomial Nomenclature

Binomial Nomenclature

kwanza rekebisha kiingereza hapo, SCIENTIC -->SCIENTIFIC.

kitambo haya mambo hata sikumbiki vizuri,
zea maize - mahindi.
cimex lectularius - kunguni.
blattella germanica - mende.
loxodanta africana - tembo.
panthera leo - simba
citrus sinensis - chungwa.
Hakuna zea maize.

Maize ni kingereza.

Bali kuna Zea mays.

Pia kumbuka specific names zinaanza kwa herufi kubwa na generic names kwa herufi ndogo.
 
Wucheriria bancroftii
Brugia malayi
Plasmodium falciparum
Ancylostoma duodenale
 
Hakuna zea maize.

Maize ni kingereza.

Bali kuna Zea mays.

Pia kumbuka specific names zinaanza kwa herufi kubwa na generic names kwa herufi ndogo.
And dont forget to underline
 
Tujikumbushe kidogo...Ni Scientic name gani zilikua zinakuvutia pindi zinapotajwa?au zipi zilikua zinakupa ugumu kutamka/kukariri??

Zangu...Mangifera indica(MANGO)
Cannabis sativa(marijuana)
Oryza sativa(rice)...nk

Mwendelezo...nawe tupe zako.
Coitus interruptus - withdrawal
 
Back
Top Bottom