unaweaza weka picha yake humu na namba zake humu.. Siku zote hakuna mwanamke Mwepesi kutongozeka tena bila kutumia hela kama Mtu uliyetambulishwa kuwa huyu ni mtoto wa ndugu yako yule anayefanya kazi kule ushirombo... au Geita au Nyamihoro.. Yaani unakuja kuuliza ushauri huku Hufai kuwa rijali au utakuwa hujatahiriwaWanangenga napata wakati mgumu sana hivi karibuni kwani kuna mtoto mzuri nimekutana nae kwenye harusi nikatambulishwa kuwa ni binamu yangu
Tumebadilishana ma07 na sasa ameanza kuniletea mapicha picha na kutaka kumjua athumani mbaya sijui nimalize au nipotezee maana anakuja kwa kasi kweli
Yaani wanaume wangeweza kufanya Kama ushauri wako unavyosema,kuchepuka kusingekuwepo au kungepungua Sana hapa dunianiACHANA NAE TU KUNA HAJA GANI YA KUMGEGEDA NDUGU YAKO WAKATI MABINTI WENGINE WAKO WENGI TUU?