Habari za weekend wadau,
Jumatano nilishika simu ya mchumba wangu nikakuta msg kutoka kwa Binamu yake wakichati kimahaba sana wakiambiana maneno kama "sweetheart" my love" "nakupenda sana" hivi haya maneno ni kawaida kwa jamii za kiafrika kuambiana au ndio hivyo tena Binamu ananilia.
Na ukiachana na wahindi na waarabu ni kabila gani TZ wana utamaduni Mabinamu kuoana?