Binafsi naona mradi wa treni ya umeme kama nchi unatuchelewesha

Dennis Robert Shughuru

JF-Expert Member
Joined
May 30, 2024
Posts
4,124
Reaction score
6,141
Sababu kubwa za mimi kuto-support mradi wa treni ya umeme
Multiplier effects ya uwekezaji wa gesi asilia ni kubwa sana kulingana na treni hii ya umeme
Umeme tunaozalisha kama nchi ni mdogo na hili treni za umeme zifanye kazi flawless basi umeme unatakiwa uwe wa uhakika

Treni ya umeme
  1. Lot 1-Dodoma line costing $3.1 billion
  2. Lot 5 (Isaka to Mwanza) costing $1.321 billion
  3. Lot 6-USD 2.7 billion
Kwa haraka-haraka ni kama usd billion 6 ila kutoka vyanzo ambavyo sio rasmi wanasema inazidi usd billion 10

KUWEKEZA KWENYE GESI ASILIA
Njoo kwenye gharama ya bomba la gesi
Uganda wanatandaza bomba la mafuta lenye urefu wa km 1,443 gharama yake ni usd billion 5.6 na lina diameter ya inch 24, kwa hiyo kwa usd billion 10 tunaweza tukajenga drilling kwenye bahari ya Hindi ambako ndo kuna hifadhi kubwa sana ya gesi asilia na ukasambaza umbali wa km 1,400 ni sawa na kuanzia mtwara mpaka Arusha km 1,186.6 na kutoka dsm mpaka dodoma km 400+ zaidi ya mikoa tisa na in-long run nchi nzima

Kwanini tuwekeze kwenye gesi asilia hili ndo swali utakalouliza???????
Mradi wa sasa wa treni ya umeme utachukua mda mrefu sana kurudisha fedha iliyowekweza kumbuka kiasi kikubwa ni mikopo na huu ndo ukweli mchungu na hii ni mbaya sana kwa sababu nchi maskini kama Tanzania inatakiwa iwekeze kwenye miradi inayorudisha fedha kwa mda mfupi au ambayo ina-multiplier effects kubwa sana

Kwa sababu tuna-uhaba wa umeme mkubwa sana basi gesi asilia itakua ni msaada mkubwa sana sababu gesi asilia inatumika kuzalisha umeme-

kama nchi tunatakiwa tuwe na lengo la kuzalisha umeme megawatts zaidi ya laki 1 hili linawezekana kama tukiwekeza kwenye gesi asilia ambayo tunayo

Gesi asilia inafanyaje kazi kuzalisha umeme kwa wasiojua
Gesi asilia ikichomwa kwenye gas turbines inatengeneza umeme ambao unatumika na viwanda, ofisini na majumbani.

Gesi asilia inaweza kutengeneza joto kubwa ambalo inaungwanishwa na generator kwa matumizi mbalimbali hii ni common sana kwa nchi za ulaya na zile zenye baridi kali-kwa Tanzania hii itasaidia sana mikoa ya njombe, iringa, mbeya ambayo kuna miezi inakuwa na baridi kali

Kuna mtu au watu wanataka kujua Gas turbine ni nini kwa ufupi
Hii ni mashine ambayo inatumika kuzalisha umeme kwa kutumia gesi asilia ambayo tunayo hapa Tanzania, baada ya kumaliza kusambaza bomba la gesi asilia kwenye mikoa tofauti-tofauti zoezi litakalofuata ni kununua gas turbines ambazo zitakuwa sehemu wilaya tofauti-tofauti, na mikoa tofauti-tofauti kwa ajili ya kuzalisha umeme
  • Smaller turbines ambayo inaweza zalisha umeme chini ya megawatts 20 gharama yake ni kati ya usd 500,000 (billion 1 mpaka billion 6)
  • Mid-sized turbines inaweza zalisha umeme kati ya megawatts 20 mpaka 100 gharama yake ni usd million 3 (tsh billion 6+ na usd million 10 (tsh billion 20+)
  • Large turbines inaweza zalisha umeme zaidi ya megawatts 100 gharama yake ni kati ya usd million 10 (tsh billion 20+) na usd million 20 (tsh billion 40+)

Na-umeme unapozalishiwa sehemu husika unatakiwa utumike hapo-hapo na hili litafanikiwa sababu gas turbines zitakuwa zimetapakaa kila mkoa, na wilaya. Pia ili kukabiliana na tatizo la low voltage mfano umeme unazalishiwa nyumba ya Mungu alafu unaenda dsm kwenye grid ya taifa alafu ndo unarudi tena mikoa ya kaskazin kwa matumizi matokeo yake ile mikoa inapitia changamoto ya low voltage ilihali umeme unazalishiwa jirani

HII SUPPLY CHAIN YA GESI ASILIA KUANZIA DRILLING, PIPELINE NA ELECTRIC GENERATION INATAKIWA IWE CHINI YA SERIKALI YAANI TUIMILIKI SISI

Waekezaji wao kazi yao ni kufungua viwanda vifuatavyo;-
  • Processing industries hivi vinaandaa mazao ya kilimo yanalimwa na mkulima kwa ajili ya kutumika na viwanda vya secondary
  • Smelter hivi vinadeal na metals vinaandaa metals kwa ajili ya matumizi ya viwanda vya secondary
  • Refining hivi vinadeal na hydrocarbon ambazo zinachimbwa chini ya ardhi kwa ajili ya mtumiaji wa mwisho na kwa matumizi ya viwanda vya secondary
  • Secondary industries (viwanda vya kutengeneza bidhaa kwa mtumiaji wa mwisho
KAMA KWELI TUNANIA YA DHATI YA KUNUFAIKA NA GESI ASILIA KAMA NCHI TUNATAKIWA TUMILIKI SUPPLY CHAIN YA GESI ASILIA

Ningekuwa Rais haraka sana ningesimamisha huo mradi na kuwekeza kwenye gesi asilia
 
  • Smaller turbines ambayo inaweza zalisha umeme chini ya megawatts 20 gharama yake ni kati ya usd 500,000 (Trillion 1 mpaka Trillion 6)
  • Mid-sized turbines inaweza zalisha umeme kati ya megawatts 20 mpaka 100 gharama yake ni usd million 3 (tsh Trillion 6+ na usd million 10 (tsh Trillion 20+)
  • Large turbines inaweza zalisha umeme zaidi ya megawatts 100 gharama yake ni kati ya usd million 10 (tsh Trillion 20+) na usd million 20 (tsh Trillion 40+)
Hapa ume tumia Exchange rate za Zimbabwe mtaalamu!? (Ukiwa Rais uta uza nchi ww una hesabu Kali sana)....
 
Kwa sababu tuna-uhaba wa umeme mkubwa sana basi gesi asilia itakua ni msaada mkubwa sana sababu gesi asilia inatumika kuzalisha umeme- kama nchi tunatakiwa tuwe na lengo la kuzalisha umeme megawatts laki 1 hili linawezekana kama tukiwekeza kwenye gesi asilia ambayo tunayo

Dogo nilishakuulizaga hivi wewe ni Mmeru wa wapi hadi leo hujanijibu, kwa nini Dogo? Nakuuliza tena wewe ni Mmeru wa wapi, Nkoaranga, kipande cha Poli, Nshupu, Esotho lefaa, Ngare Nanyuki, kwa fundi (Sing'isi), Akheri , Merirani, Maji ya Chai, Sakila, Jua Kali, Kikatiti????????

much know
 
Je, unayo maarifa ya kutosha au hata machache kuhusu Transport and Logistics Management Concepts;

Kila Usafirishaji ni bora; isipokuwa usafirishaji wa Watu, bidhaa na huduma kwa wakati mmoja ndio bora zaidi kwa dhana ya Multipler Effect maana inatokea kwa haraka na ufanisi wake ni mkubwa endapo ukilinganisha na Usafirishaji bidhaa pekee.

Gesi ina uzuri wake isipokuwa huwezi kuifanya kuwa nzuri na bora ikiwa huna wataalamu, sera mbovu, utayari wa kupambana na dunia ya kwanza na mambo mengi.

Tupambanie Usafiri huu kwanza wa watu, bidhaa na huduma hapo baadae tuifanye na hilo wazo lako bado nafasi tunayo rafiki kipenzi.

Asante.
 
Kwamba hatuna wataalamu wa gesi mbona uarabuni wameajiri wazungu kwenye yale makampuni yao kwani ni lazima tuajiri watanzania
 
Ni mtu mjinga tu anayeweza kupinga mradi kama wa Treni ya umeme.
 
Kwamba hatuna wataalamu wa gesi mbona uarabuni wameajiri wazungu kwenye yale makampuni yao kwani ni lazima tuajiri watanzania
Sio rahisi hivyo Kaka.
Hii ni nchi sio jambo la familia moja. Ipo hivi, unapotaka kufanya uwekezaji hasa Mkubwa nchini kwanza lazima uwe na wataalamu wa kutosha maana yake maeneo halisi ya utendaji uwe na watu ambao ni wataalamu hasa; mfano Wanasheria, Wahasibu, Wahandisi nk waliobobea kwenye Gesi wapo? Wewe hata hao wa mtaani kwako waulize kama wanajua chochote kwenye Gesi wenye mfanano na hiyo Sekta.
Basi tambua hiyo Biashara kwa nchi sio rahisi maana inavutia na kutaka mambo mengi sana.

Najua nia yako ni njema ila wakati ulioutaka sio sahihi. Ila kwenye Usafiri wa Treni kwa njia ya Umeme hapo tupo vizuri kwa 75% ndio maana mradi unaleta faraja.
 
Je, unayo maarifa ya kutosha au hata machache kuhusu Transport and Logistics Management Concepts;

Kila Usafirishaji ni bora; isipokuwa usafirishaji wa Watu, bidhaa na huduma kwa wakati mmoja ndio bora zaidi kwa dhana ya Multipler Effect maana inatokea kwa haraka na ufanisi wake ni mkubwa endapo ukilinganisha na Usafirishaji bidhaa pekee.

Gesi ina uzuri wake isipokuwa huwezi kuifanya kuwa nzuri na bora ikiwa huna wataalamu, sera mbovu, utayari wa kupambana na dunia ya kwanza na mambo mengi.

Tupambanie Usafiri huu kwanza wa watu, bidhaa na huduma hapo baadae tuifanye na hilo wazo lako bado nafasi tunayo rafiki kipenzi.

Asante.
Mheshimiwa Rais una mawazo mazuri sana.

Wengi tunashindwa kujiuliza ikiwa mradi wa treni za umeme utakamilika tukawa hatuna umeme wa kutosha nini kitatokea?

Itakuwa total failure.

Ingekuwa vyema tukahakikisha uwepo wa umeme wa uhakika kwanza kabla ya kuanzisha miradi ya kutumia umeme mwingi.

Ulaya, China na Japan mtu anazaliwa mpaka anazeeka umeme haujawahi kukatika.
 
Umenipa Ukuu usio haki yangu. Naukataa, siutaki.

Pili, naomba tusahihishane rafiki. Umeme wa Treni sio wa moja kwa moja usiwachukulie poa Wataalamu wetu wa TRC na Tanesco.

Kuhusu biashara ya Gesi; Ujenzi, Usafirishaji na matumizi yake aidha kwa watu au taasisi unahusisha mambo mengi na huenda usipokuwa makini ukajikuta kwenye shida Duniani huko.

Licha ya kuwa na Gesi ya kutosha unaijua Sheria ya Uwekezaji ya nchi yako?

Kama unaijua Tanzania vizuri na kama umeshatembea tembea huko nishati ya Umeme itakuja kuwa poa tu hata usiwaze.

Karibu.
 
Sababu kubwa za mimi kuto-support mradi wa treni ya umeme
Multiplier effects ya uwekezaji wa gesi asilia ni kubwa sana kulingana na treni hii ya umeme
Umeme tunaozalisha kama nchi ni mdogo na hili treni za umeme zifanye kazi flawless basi umeme unatakiwa uwe wa uhakika

Treni ya umeme
  1. Lot 1-Dodoma line costing $3.1 billion
  2. Lot 5 (Isaka to Mwanza) costing $1.321 billion
  3. Lot 6-USD 2.7 billion
Kwa haraka-haraka ni kama usd billion 6 ila kutoka vyanzo ambavyo sio rasmi wanasema inazidi usd billion 10

KUWEKEZA KWENYE GESI ASILIA
Njoo kwenye gharama ya bomba la gesi
Uganda wanatandaza bomba la mafuta lenye urefu wa km 1,443 gharama yake ni usd billion 5.6 na lina diameter ya inch 24, kwa hiyo kwa usd billion 10 tunaweza tukajenga drilling kwenye bahari ya Hindi ambako ndo kuna hifadhi kubwa sana ya gesi asilia na ukasambaza umbali wa km 1,400 ni sawa na kuanzia mtwara mpaka Arusha km 1,186.6 na kutoka dsm mpaka dodoma km 400+ zaidi ya mikoa tisa na in-long run nchi nzima

Kwanini tuwekeze kwenye gesi asilia hili ndo swali utakalouliza???????
Mradi wa sasa wa treni ya umeme utachukua mda mrefu sana kurudisha fedha iliyowekweza kumbuka kiasi kikubwa ni mikopo na huu ndo ukweli mchungu na hii ni mbaya sana kwa sababu nchi maskini kama Tanzania inatakiwa iwekeze kwenye miradi inayorudisha fedha kwa mda mfupi au ambayo ina-multiplier effects kubwa sana

Kwa sababu tuna-uhaba wa umeme mkubwa sana basi gesi asilia itakua ni msaada mkubwa sana sababu gesi asilia inatumika kuzalisha umeme-

kama nchi tunatakiwa tuwe na lengo la kuzalisha umeme megawatts zaidi ya laki 1 hili linawezekana kama tukiwekeza kwenye gesi asilia ambayo tunayo

Gesi asilia inafanyaje kazi kuzalisha umeme kwa wasiojua
Gesi asilia ikichomwa kwenye gas turbines inatengeneza umeme ambao unatumika na viwanda, ofisini na majumbani.

Gesi asilia inaweza kutengeneza joto kubwa ambalo inaungwanishwa na generator kwa matumizi mbalimbali hii ni common sana kwa nchi za ulaya na zile zenye baridi kali-kwa Tanzania hii itasaidia sana mikoa ya njombe, iringa, mbeya ambayo kuna miezi inakuwa na baridi kali

Kuna mtu au watu wanataka kujua Gas turbine ni nini kwa ufupi
Hii ni mashine ambayo inatumika kuzalisha umeme kwa kutumia gesi asilia ambayo tunayo hapa Tanzania, baada ya kumaliza kusambaza bomba la gesi asilia kwenye mikoa tofauti-tofauti zoezi litakalofuata ni kununua gas turbines ambazo zitakuwa sehemu wilaya tofauti-tofauti, na mikoa tofauti-tofauti kwa ajili ya kuzalisha umeme
  • Smaller turbines ambayo inaweza zalisha umeme chini ya megawatts 20 gharama yake ni kati ya usd 500,000 (billion 1 mpaka billion 6)
  • Mid-sized turbines inaweza zalisha umeme kati ya megawatts 20 mpaka 100 gharama yake ni usd million 3 (tsh billion 6+ na usd million 10 (tsh billion 20+)
  • Large turbines inaweza zalisha umeme zaidi ya megawatts 100 gharama yake ni kati ya usd million 10 (tsh billion 20+) na usd million 20 (tsh billion 40+)

Na-umeme unapozalishiwa sehemu husika unatakiwa utumike hapo-hapo na hili litafanikiwa sababu gas turbines zitakuwa zimetapakaa kila mkoa, na wilaya. Pia ili kukabiliana na tatizo la low voltage mfano umeme unazalishiwa nyumba ya Mungu alafu unaenda dsm kwenye grid ya taifa alafu ndo unarudi tena mikoa ya kaskazin kwa matumizi matokeo yake ile mikoa inapitia changamoto ya low voltage ilihali umeme unazalishiwa jirani

HII SUPPLY CHAIN YA GESI ASILIA KUANZIA DRILLING, PIPELINE NA ELECTRIC GENERATION INATAKIWA IWE CHINI YA SERIKALI YAANI TUIMILIKI SISI

Waekezaji wao kazi yao ni kufungua viwanda vifuatavyo;-
  • Processing industries hivi vinaandaa mazao ya kilimo yanalimwa na mkulima kwa ajili ya kutumika na viwanda vya secondary
  • Smelter hivi vinadeal na metals vinaandaa metals kwa ajili ya matumizi ya viwanda vya secondary
  • Refining hivi vinadeal na hydrocarbon ambazo zinachimbwa chini ya ardhi kwa ajili ya mtumiaji wa mwisho na kwa matumizi ya viwanda vya secondary
  • Secondary industries (viwanda vya kutengeneza bidhaa kwa mtumiaji wa mwisho
KAMA KWELI TUNANIA YA DHATI YA KUNUFAIKA NA GESI ASILIA KAMA NCHI TUNATAKIWA TUMILIKI SUPPLY CHAIN YA GESI ASILIA

Ningekuwa Rais haraka sana ningesimamisha huo mradi na kuwekeza kwenye gesi asilia

..tutekeleze mradi wa gesi asilia, na tukamilishe mradi wa Sgr.

..miradi yote miwili ina faida, na umuhimu mkubwa, kwa nchi yetu.

..pia tunatakiwa tuboreshe bandari zetu haswa za Dsm, Tanga, Mtwara, Kigoma, Mwanza, na ktk ziwa Nyasa.

..vilevile kuimarisha miundombinu ya kuzifikia bandari hizo ikiwemo barabara.
 
Mheshimiwa Rais una mawazo mazuri sana.

Wengi tunashindwa kujiuliza ikiwa mradi wa treni za umeme utakamilika tukawa hatuna umeme wa kutosha nini kitatokea?

Itakuwa total failure.

Ingekuwa vyema tukahakikisha uwepo wa umeme wa uhakika kwanza kabla ya kuanzisha miradi ya kutumia umeme mwingi.

Ulaya, China na Japan mtu anazaliwa mpaka anazeeka umeme haujawahi kukatika.
Umeme kwanza wa uhakika ndo ingetakiwa kuwa kipaumbele cha kwanza
Baada ya bwawa la umeme hatuna mradi mwingine mkubwa wa umeme
 
Sio rahisi hivyo Kaka.
Hii ni nchi sio jambo la familia moja. Ipo hivi, unapotaka kufanya uwekezaji hasa Mkubwa nchini kwanza lazima uwe na wataalamu wa kutosha maana yake maeneo halisi ya utendaji uwe na watu ambao ni wataalamu hasa; mfano Wanasheria, Wahasibu, Wahandisi nk waliobobea kwenye Gesi wapo? Wewe hata hao wa mtaani kwako waulize kama wanajua chochote kwenye Gesi wenye mfanano na hiyo Sekta.
Basi tambua hiyo Biashara kwa nchi sio rahisi maana inavutia na kutaka mambo mengi sana.

Najua nia yako ni njema ila wakati ulioutaka sio sahihi. Ila kwenye Usafiri wa Treni kwa njia ya Umeme hapo tupo vizuri kwa 75% ndio maana mradi unaleta faraja.
All in all wazungu wameharibu sana za mwafrika kila anapotaka kujaribu kutumia rasilimali zake basi atatishiwa mara huna wataalamu wa kutosha

Angalia kule kanda ya ziwa watu wanavuna dhahabu miaka karibia ishirini ila Angalia watu wanavyoishi kwenye umaskini wa kutisha ukiuliza unajibiwa kirahisi huna wataalamu wa kutosha na kibaya zaidi sisi waafrika tumekubali kuingia kwenye huu mtego
 
Dogo nilishakuulizaga hivi wewe ni Mmeru wa wapi hadi leo hujanijibu, kwa nini Dogo? Nakuuliza tena wewe ni Mmeru wa wapi, Nkoaranga, kipande cha Poli, Nshupu, Esotho lefaa, Ngare Nanyuki, kwa fundi (Sing'isi), Akheri , Merirani, Maji ya Chai, Sakila, Jua Kali, Kikatiti????????

much know
Kwanini awe mmeru, what is it about wameru kumhusu kijana?
 
Back
Top Bottom