Binadamu wote ni sawa

Kwa usawa upi ulioeka hapo...
Tukirudi kwenye formula zangu za equilibrium iko hivi..
Acording to newton laws of motion
*Evry action have equal and oposite reaction*
NAMAANA GANI
UMASKINI is always umaskini mean
#=#
And never*
 
Hii dhana inabidi ifutiliwe mbali, wanapotuambia binadamu wote ni sawa huku wengine tukiishi kwenye Nyumba za mbavu ya mbwa na wengine nyumba safi wakipulizwa na kiyoyozi! Haiwezekani tukawa sawa.
Sisi kwenye shule za kata! Wengine kwenye shule za st. Marie's! Aaah! Usawa uko wapi?
 
nyumba kama kanisa, ukute wanakaa baba, mama na watoto wawili na hasuigelo.. teh!
 
Na ndiyo maana nikasema kuna wengine wako sawa zaidi ya wengine.
 
NI SAWA KWA SABABU SIKU YA MWISHO WOTE TUTAZIKWA UDONGONI
 
Wanazungumzia usawa wa kibaiolojia....yaani ni kuwa huyo naye ana miguu miwili na macho mawili na moyo unaopiga kwa mwendo ule ule.....na vitu vinavyofanana na wewe mwilini mwako......
 
Shida ni mwenye gorofa anashinda bar kwa sababu nyumbani hakukaliki lakini mwenye nyumba ya hovyo mapema yuko nyumbani anainjoi na wife na watoto
 
Hyo nyumba ya chini ukute wanakaa baba, mama na mbwa mweusi!
 
Inategemea na unaongelea usawa gani. Kwa picha hapo juu au kwa maisha, hakuna usawa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…