Erasto kalinga
Senior Member
- Apr 1, 2016
- 171
- 109
CCM vyuo vikuu si sawa na CHASO
Na ndiyo maana nikasema kuna wengine wako sawa zaidi ya wengine.Hii dhana inabidi ifutiliwe mbali, wanapotuambia binadamu wote ni sawa huku wengine tukiishi kwenye Nyumba za mbavu ya mbwa na wengine nyumba safi wakipulizwa na kiyoyozi! Haiwezekani tukawa sawa.
Sisi kwenye shule za kata! Wengine kwenye shule za st. Marie's! Aaah! Usawa uko wapi?
Umeona Mkuu Mimi sio siri nimeyapenda,panaonekana pana hewa safi ile original,na mwenyewe ni msafi kweli kweli unaonja uwanja ulivyoMazingira ya nyumba ya mbavu za mbwa yanavutia.
binadam wote ni sawa kwa maana ya mahitaju.
Kwenye udongo tu ndio sawaNI SAWA KWA SABABU SIKU YA MWISHO WOTE TUTAZIKWA UDONGONI
Inategemea na unaongelea usawa gani. Kwa picha hapo juu au kwa maisha, hakuna usawa.Hii dhana inabidi ifutiliwe mbali, wanapotuambia binadamu wote ni sawa huku wengine tukiishi kwenye Nyumba za mbavu ya mbwa na wengine nyumba safi wakipulizwa na kiyoyozi! Haiwezekani tukawa sawa.
Sisi kwenye shule za kata! Wengine kwenye shule za st. Marie's! Aaah! Usawa uko wapi?