Binadamu na kumbukumbu

Ushimen

Platinum Member
Joined
Oct 24, 2012
Posts
44,852
Reaction score
113,303
Habari ya juma mosi wakuu..!!
Kama nilivyo anza na kugusia hapo kwenye utangulizi, kidogo kuna mambo yananitatiza sana kwa muda kidogo ingawa nimejaribu kutafakari na kusoma vitabu kadhaa ili niweze pata A'B'C,s

1. Je, binadamu anauwezo wa kutunza/kuhifadhi kumbukumbu kwa muda gani?

2. Je, binadamu anawezaje kurejesha/kupata kumbukumbu?

3. Je, binadamu anawezaje kuboresha kumbukumbu zake?

Ni maswali matatu pekee, tena sio mwaswali marefu na yakutisha ingawa binafsi yamenitoa kamasi.
Naomba kuwakilisha
 
Kwa muda wote atakaokuwa hai
2. Je, binadamu anawezaje kurejesha/kupata kumbukumbu?
Kwa kukumbuka aliyoyasahau
3. Je, binadamu anawezaje kuboresha kumbukumbu zake?
Kwa kujikumbusha mara kwa mara yale yote aliyopata kujifunza au kuyajua
Ni maswali matatu pekee, tena sio mwaswali marefu na yakutisha ingawa binafsi yamenitoa jasho

Naomba kuwakilisha
Na mimi naomba kuwasilisha majibu yangu
 
Kwa muda wote atakaokuwa haiKwa kukumbuka aliyoyasahauKwa kujikumbusha mara kwa mara yale yote aliyopata kujifunza au kuyajua
Na mimi naomba kuwasilisha majibu yangu
Heshima yako mkuu.....
Lakini isiwe umeamua kunilisha matango ya porini....[emoji12] [emoji12] [emoji12] [emoji12]
 
Heshima yako mkuu.....
Lakini isiwe umeamua kunilisha matango ya porini....[emoji12] [emoji12] [emoji12] [emoji12]
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Kuna matamu na machungu wewe chagua yanayokufaa
 
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Kuna matamu na machungu wewe chagua yanayokufaa
[emoji12] [emoji12] [emoji12]
[emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…