Binadamu mwenye akili kuliko wote

Ana akili kuliko wote kivipi??!!! labda ungesema anayeweza hesabu kuliko wote hapo ingekuwa sawa.
 
Amefanikiwa kutumia asilimia kubwa ya uwezo wa ubongo wake na hicho ndio kipimo cha kusema mttu fulani ana akili kumzidi mwingine...

In a normal sense huwezi solve hisabati za Calculus au Differential pasipo kufundishwa na kawaida huanza kufundishwa elimu ya sekondari.

Sasa kama mtoto mdogo below 10 yrs of age akiweza kukokotoa hizo mambo lazima atakuwa exceptional tu.

Ana akili kuliko wote kivipi??!!! labda ungesema anayeweza hesabu kuliko wote hapo ingekuwa sawa.
 
watu8 kuna sababu za kibailojia inayoweza kusababisha hii? Labda wazazi wake au vyakula au nini?
 
Last edited by a moderator:
watu8 kuna sababu za kibailojia inayoweza kusababisha hii? Labda wazazi wake au vyakula au nini?

Kwa uelewa wangu ili mtu awe intelligent kuna sababu mbili kuu zinazoweza kupelekea hilo:

1. Sababu za kijenetiki (nature)

2. Sababu za kifizikia (nurture)
 
Kwa uelewa wangu ili mtu awe intelligent kuna sababu mbili kuu zinazoweza kupelekea hilo:

1. Sababu za kijenetiki (nature)

2. Sababu za kifizikia (nurture)

Tupe somo kidogo mkuu kwa ajili ya wote
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…