Binadamu kujaza mafuta kwenye vituo

Binadamu kujaza mafuta kwenye vituo

FRANCIS DA DON

JF-Expert Member
Joined
Sep 4, 2013
Posts
40,527
Reaction score
46,612
Yaani vyakula visagwe kwenye blender, then viuzwe kama mafuta kwenye sheli, yaan kitovu kinafungiwa koki, badala ya kula we unajaza tu mafuta..
 
Pole na naona kawambwa kakujia vibaya na kitu cha divisheni faivu. Tafta hata chuo cha utalii ukapige buku maana unakoendea utatembea toka dar had zanzibar kwa miguu kama wale vijana wa ukawa.
 
Pole na naona kawambwa kakujia vibaya na kitu cha divisheni faivu. Tafta hata chuo cha utalii ukapige buku maana unakoendea utatembea toka dar had zanzibar kwa miguu kama wale vijana wa ukawa.

Hahahaaa mkuu... Radi itakayo kupiga bado iko gym inapiga push ups...lol
 
Back
Top Bottom