Herbalist Dr MziziMkavu JF-Expert Member Joined Feb 3, 2009 Posts 43,037 Reaction score 34,741 Nov 6, 2013 #1
Heaven on Earth JF-Expert Member Joined Mar 21, 2013 Posts 37,226 Reaction score 26,716 Nov 6, 2013 #2 yangekuwa yanapatikana bure unadhani tungehamasishana basi
OLESAIDIMU JF-Expert Member Joined Dec 2, 2011 Posts 19,139 Reaction score 9,574 Nov 6, 2013 #3 Heaven on Earth said: yangekuwa yanapatikana bure unadhani tungehamasishana basi Click to expand... Yaani bure kama bia my dada!!!!
Heaven on Earth said: yangekuwa yanapatikana bure unadhani tungehamasishana basi Click to expand... Yaani bure kama bia my dada!!!!
C cr9 Senior Member Joined Oct 13, 2010 Posts 185 Reaction score 103 Nov 6, 2013 #4 Heaven on Earth said: yangekuwa yanapatikana bure unadhani tungehamasishana basi Click to expand... Kwani bia mnapewa bure
Heaven on Earth said: yangekuwa yanapatikana bure unadhani tungehamasishana basi Click to expand... Kwani bia mnapewa bure
Fundi mahiri wa Ujenzi JF-Expert Member Joined Dec 10, 2012 Posts 4,748 Reaction score 3,749 Nov 6, 2013 #5 cr9 said: Kwani bia mnapewa bure Click to expand... mbona bia hawahamasishwi?
kadakokigondile JF-Expert Member Joined May 17, 2013 Posts 1,872 Reaction score 635 Nov 6, 2013 #6 We gawa maziwa bure uone watu watakavyokunywa sio wewe unaehamasisha kwa maneno wakati watu wamepigika
We gawa maziwa bure uone watu watakavyokunywa sio wewe unaehamasisha kwa maneno wakati watu wamepigika
A Aleyn JF-Expert Member Joined Nov 12, 2011 Posts 23,116 Reaction score 40,120 Nov 6, 2013 #7 kadakokigondile said: We gawa maziwa bure uone watu watakavyokunywa sio wewe unaehamasisha kwa maneno wakati watu wamepigika Click to expand... Kaka, Ahsante Sana.
kadakokigondile said: We gawa maziwa bure uone watu watakavyokunywa sio wewe unaehamasisha kwa maneno wakati watu wamepigika Click to expand... Kaka, Ahsante Sana.
maroon7 JF-Expert Member Joined Nov 3, 2010 Posts 11,341 Reaction score 15,829 Nov 6, 2013 #8 kwa mwaka at least mtu unywe pipa moja la maziwa.....
Afro-Arabica JF-Expert Member Joined Aug 27, 2013 Posts 1,107 Reaction score 493 Nov 6, 2013 #9 Al-Hamdulillah...... Mifugo ipo kwa wingi..... maziwa ni lishe ilokamilika.... hata bei yake inakubalika.
Al-Hamdulillah...... Mifugo ipo kwa wingi..... maziwa ni lishe ilokamilika.... hata bei yake inakubalika.
F farkhina Platinum Member Joined Mar 14, 2012 Posts 14,568 Reaction score 16,920 Nov 6, 2013 #10 Binaadamu kama hajaamua kufanya jambo lake hata umwambiaje hakuelewi....hata liwe na manufaa nae..
Washawasha JF-Expert Member Joined Aug 7, 2006 Posts 16,948 Reaction score 13,378 Nov 6, 2013 #11 wakati mwengine tunakuwa hatuna hela ya kununulia madhiwa. Nalog off
P phill JF-Expert Member Joined May 25, 2011 Posts 1,364 Reaction score 620 Nov 7, 2013 #12 Bia tuna hamasishwa via matangazo na bahati nasibu wajameni
F farkhina Platinum Member Joined Mar 14, 2012 Posts 14,568 Reaction score 16,920 Nov 7, 2013 #13 Washawasha said: wakati mwengine tunakuwa hatuna hela ya kununulia madhiwa. Nalog off Click to expand... Mnayo ya kununulia nini?
Washawasha said: wakati mwengine tunakuwa hatuna hela ya kununulia madhiwa. Nalog off Click to expand... Mnayo ya kununulia nini?
Washawasha JF-Expert Member Joined Aug 7, 2006 Posts 16,948 Reaction score 13,378 Nov 7, 2013 #14 farkhina said: Mnayo ya kununulia nini? Click to expand... vipodozi kwa ajili ya kuwarembesha my wife zetu. Nalog off
farkhina said: Mnayo ya kununulia nini? Click to expand... vipodozi kwa ajili ya kuwarembesha my wife zetu. Nalog off
F farkhina Platinum Member Joined Mar 14, 2012 Posts 14,568 Reaction score 16,920 Nov 7, 2013 #15 Washawasha said: vipodozi kwa ajili ya kuwarembesha my wife zetu. Nalog off Click to expand... Mmmmh sio kweli...mwatafuta sababu tu.
Washawasha said: vipodozi kwa ajili ya kuwarembesha my wife zetu. Nalog off Click to expand... Mmmmh sio kweli...mwatafuta sababu tu.
Washawasha JF-Expert Member Joined Aug 7, 2006 Posts 16,948 Reaction score 13,378 Nov 7, 2013 #16 farkhina said: Mmmmh sio kweli...mwatafuta sababu tu. Click to expand... sasa we ngoja mwisho wa mwezi huu nisinunue vipodozi halafu ninunue maziwa kama sijaimbwa ngomani mpaka utanionea huruma. Nalog off
farkhina said: Mmmmh sio kweli...mwatafuta sababu tu. Click to expand... sasa we ngoja mwisho wa mwezi huu nisinunue vipodozi halafu ninunue maziwa kama sijaimbwa ngomani mpaka utanionea huruma. Nalog off
mwaxxxx JF-Expert Member Joined Jul 1, 2012 Posts 858 Reaction score 246 Nov 7, 2013 #17 farkhina said: Binaadamu kama hajaamua kufanya jambo lake hata umwambiaje hakuelewi....hata liwe na manufaa nae.. Click to expand... Ukimpa bure atadai ana alergy na maziwa
farkhina said: Binaadamu kama hajaamua kufanya jambo lake hata umwambiaje hakuelewi....hata liwe na manufaa nae.. Click to expand... Ukimpa bure atadai ana alergy na maziwa
Lady doctor JF-Expert Member Joined Apr 13, 2013 Posts 8,756 Reaction score 7,005 Nov 7, 2013 #18 Tuhamasishwe tu na si maziwa pekee mpaka nyama pia...... Yeah bila kubustiwa ubongo akili haiendi.
F farkhina Platinum Member Joined Mar 14, 2012 Posts 14,568 Reaction score 16,920 Nov 7, 2013 #19 Patrickn said: kwa mwaka at least mtu unywe pipa moja la maziwa..... Click to expand... Washawasha kanywa half glass tu mwaka mzima... Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
Patrickn said: kwa mwaka at least mtu unywe pipa moja la maziwa..... Click to expand... Washawasha kanywa half glass tu mwaka mzima...
F farkhina Platinum Member Joined Mar 14, 2012 Posts 14,568 Reaction score 16,920 Nov 7, 2013 #20 mwaxxxx said: Ukimpa bure atadai ana alergy na maziwa Click to expand... Umeona eeeeh...