Binadamu hawaeleweki

Binadamu hawaeleweki

kingkongtz

JF-Expert Member
Joined
Dec 28, 2019
Posts
1,059
Reaction score
3,658
Miez kadhaa nilikuw na kilo 93 ,kila niliyekuw nakutana naye alikuw ananiambia nifanye mazoez nipunguze mwili.

Asilimia 97 walikuw wananiambia nipunguze mwili.na kwel ilifikia hatua nikajiona mzito mzito ,

Sasa nikaanza kupambana kupunguza uzito, nikaunyima mwili chakula nikawa nakunywa maji tu mara nying, (mchana matunda usiku chapati mbil na maziwa)

By nature mimi ni mzee wa totoz ,hili siwez kulipinga (hapa najua weng mtanichoma ila mwanaume kamil anajijua)

Baada ya kuunyimwa mwili chakula , umepungua kutoka 97 hadi 80 na nimeanza kujisikia mwepes,

Taarifa zimesambaa mtaani et nimewaka .aka nimenasa waya.aseee hadi totoz zinanikataa siku hizi


sio fresh.
 
miez kadhaa nilikuw na kilo 93 ,kila niliyekuw nakutana naye alikuw ananiambia nifanye mazoez nipunguze mwili.

asilimia 97 walikuw wananiambia nipunguze mwili.na kwel ilifikia hatua nikajiona mzito mzito ,

sasa nikaanza kupambana kupunguza uzito,nikaunyima mwili chakula nikawa nakunywa maji tu mara nying, (mchana matunda usiku chapati mbil na maziwa)

by nature mimi ni mzee wa totoz ,hili siwez kulipinga (hapa najua weng mtanichoma ila mwanaume kamil anajijua)

baada ya kuunyimwa mwili chakula , umepungua kutoka 97 hadi 80 na nimeanza kujisikia mwepes,

taarifa zimesambaa mtaani et nimewaka .aka nimenasa waya.aseee hadi totoz zinanikataa siku hizi


sio fresh.
Ndivyo ilivyo kwetu sisi watu
 
Jiri
Miez kadhaa nilikuw na kilo 93 ,kila niliyekuw nakutana naye alikuw ananiambia nifanye mazoez nipunguze mwili.

Asilimia 97 walikuw wananiambia nipunguze mwili.na kwel ilifikia hatua nikajiona mzito mzito ,

Sasa nikaanza kupambana kupunguza uzito, nikaunyima mwili chakula nikawa nakunywa maji tu mara nying, (mchana matunda usiku chapati mbil na maziwa)

By nature mimi ni mzee wa totoz ,hili siwez kulipinga (hapa najua weng mtanichoma ila mwanaume kamil anajijua)

Baada ya kuunyimwa mwili chakula , umepungua kutoka 97 hadi 80 na nimeanza kujisikia mwepes,

Taarifa zimesambaa mtaani et nimewaka .aka nimenasa waya.aseee hadi totoz zinanikataa siku hizi


sio fresh.
Jiridhishe wewe mwenyewe kuepukana na misongo ya mawazo, yasiyo na ulazima
 
Kupunguza kilo 13 ndani ya miezi kadhaa sio idea nzuri. Halafu achana na mambo ya kujipunguza, wewe fanya mazoezi uwe na mwili mzuri na sio uliopwetapweta.
 
Mie nilikuwa nina kilo 107 japokuwa sikuwa na kitambi ila mademu zangu wengi wakanishauri kuwa nipunguze mwili.
Bahati mbaya nikaumwa Typhoid na malaria wiki mbili nikapungua hadi kufikia kilo 89 wakaanza kulalamika tena kuwa nimekonda sana ninenepe kidogo. [emoji28]

Ila now nina kilo 94 naishi navyotaka mie na sio mtu anipangie niweje.
 
Ila mkuu mie kujinyima huwa nashindwa kabisa, yani huwa natamani ila nachemka..... nyama choma, kuku wa kukausha na supu za mkia nitamuachia nani.
 
Miez kadhaa nilikuw na kilo 93 ,kila niliyekuw nakutana naye alikuw ananiambia nifanye mazoez nipunguze mwili.

Asilimia 97 walikuw wananiambia nipunguze mwili.na kwel ilifikia hatua nikajiona mzito mzito ,

Sasa nikaanza kupambana kupunguza uzito, nikaunyima mwili chakula nikawa nakunywa maji tu mara nying, (mchana matunda usiku chapati mbil na maziwa)

By nature mimi ni mzee wa totoz ,hili siwez kulipinga (hapa najua weng mtanichoma ila mwanaume kamil anajijua)

Baada ya kuunyimwa mwili chakula , umepungua kutoka 97 hadi 80 na nimeanza kujisikia mwepes,

Taarifa zimesambaa mtaani et nimewaka .aka nimenasa waya.aseee hadi totoz zinanikataa siku hizi


sio fresh.

Hawajawahi kueleweka
 
Back
Top Bottom