Binadamu haijui kesho yake

Binadamu haijui kesho yake

Allen Kilewella

JF-Expert Member
Joined
Sep 30, 2011
Posts
25,168
Reaction score
48,446
Hakuna binadamu yeyote ambaye anaijua kesho yake. Je, hali ya binadamu kutokujua nini kitatokea muda mchache mbele yake ni majaaliwa ama ni nini?

Je, kuna nguvu yoyote inayoonekana ama isiyoonekana ambayo inajua hatima ya binadamu?
 
Kweli
IMG_2487.jpeg
 
Kuna kitu watu huwa mnasahau.
Ukiachana na kutokuijua kesho hakuna binadamu anayejua alikotokea.
 
Back
Top Bottom