Teknolojia ni Yetu sote JF-Expert Member Joined Apr 28, 2020 Posts 1,293 Reaction score 2,623 Nov 11, 2025 #1 Walichokifanya China hii ni zaidi ya Mapinduzi ya Teknolojia kwenye huu Ulimwengu wa Dunia, Kampuni ya kutengeneza Maroboti Toka China XPENG Robotics imeunda roboti mwenye vinasaba vya binadamu. Angalia video yake ๐๐๐ china kiboko aiseeh Binadamu basi Tena tumekwisha
Walichokifanya China hii ni zaidi ya Mapinduzi ya Teknolojia kwenye huu Ulimwengu wa Dunia, Kampuni ya kutengeneza Maroboti Toka China XPENG Robotics imeunda roboti mwenye vinasaba vya binadamu. Angalia video yake ๐๐๐ china kiboko aiseeh Binadamu basi Tena tumekwisha