Binadamu bana, khaaaaa

Nyama nzuri uikute buchani, usitake kuona maandalizi yake labla haijafikishwa buchani
 
hapo inasubiri kuchunwa, kukatwa, kuchomwa, kuliwa
 
mimi nyama ilishanishinda kula sababu ya mambo kama haya tu
 
Ago tire oooooo!, Ago park myself. How far......!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…