Binadam ni kiumbe cha pekee sana, Leo ata kuambia anakupenda sana na hawezi kuishi mbali na wewe LaKiNi ifikapo kesho atakuambia ckupendi na ctaki kukuona kabisa.
Msichana atasema cku nikpata MTOTO ntafurai sana LAKINI atakapokua mama atasema ooooooooh mi ctaki kunyonyesha ntaharika haka kaumbo kangu, oooooooooooh mtoto alikua anatabia mbaya ndo mana nimemchoma/nimemkata vidole,nimemfungia ndani bila kula au leo nimemchapa kweli mpk alama zimetoka mwili yaani hatakuja hasahau.
Ni kweli unyama U umfanyie mwanao.
Watoto ni taifa la leo, tuwale ipasavyo bila kuleta athari zozote kweye maisha yao.
Tushirikiane kulinda na kutetea haki za watoo.
WATOO KWANZA.