Bima ya mke...

Tuko

JF-Expert Member
Joined
Jul 29, 2010
Posts
11,180
Reaction score
7,356
Kuna mtu nilikuwa naongea naye mda mfupi uliopita, akaniambia kwao kila kitu cha thamani lazima kiwekewe bima ili kikipata madhara uweze kulipwa fidia...

Mimejaribu kuwaza kwa haraka nikagundua kuwa kati ya vitu vya thamani nilivyo navyo kwa sasa ni investment niliyofanya kwa mke wangu (upendo, muda, kujitolea na of course mali). Hivi kuna mahali au namna mtu anajua naweza kuwekea bima investment yangu hii? Ili siku nikiachwa nifidiwe...
 
Ha ha ha ha ha ha kama vipi wewe watafute kina ndege insurance watakusaidia you know.
 
Hii sio mpya
wenzio wahindi na wengine wanamuwekea mke au mume life insurance
halafu 'wanamuua' na kwenda kulipwa.....

Bima zipo za kila aina
Aisay hii kali.
 
ukigundua anamimba ya mtu mwingine, bima itakulipa mke mpyaaaa?
Labda bima ya kwenye hicho kiungo..!
 
Mkuu, umewekeza katika investment isiyotabirika.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…