ni malengo ya dunia/mabeberu SDG-3 sustainable development goal 3 agenda 2030.
ni takwa la kidunia
si unajua tunaelekea kuwa na ONE WORLD new world order,mifumo ya huduma zote itasomana,tutakuwa na MTAWALA mmoja,dini moja,pesa moja cardless,cashless digital currency...chapa ya mnyama 666 hutanunua wala hutapata huduma yoyote bila kuwa nayo.
inafanyiwa kazi itaanza na huduma za msingi za afya huduma za rufaa,zahanati,vituo vya afya hospitali za wilaya na endapo utapewa rufaa..itaanza na maeneo machache halafu itasambaa kuwafikia wote mpaka 2030.