PISTO LERO
JF-Expert Member
- Mar 8, 2011
- 2,819
- 1,458
Rais wa zamani wa Marekani Bw. Bill clinton amefanya ziara ya kukagua moja ya vikundi ambavyo vimekuwa vikifadhiliwa na taasisi yake ya clinton foundationi kwa ushirikiano wa shirika la kimataifa la plan,care na barclays ambapo amejionea shughuri mbalimba zinazofanywa na kikundi hicho cha upendo hisa Group kilichopo Mtambani Vingunguti jijini Dar es salaam .
Akizungumza mara baada ya kushuhudia shughuli mbalimbali zinazo endeshwa na kikundi hicho ikiwemo kutembelea miradi inayofanywa na wanakikundi hao clintoni amesema ameridhishwa na mpango huo unavyoendeshwa ambapo amewapongeza wanakikundi hao kwa jitihada zao wanazo zifanya katika kujiletea maendeleo wao binafi mbali na mkopo waliopatiwa kupitia mpango
Wakizungumzia mpango huo mshauri wa masuala ya biashara wa shirika la plan na mkuu wa wawafanyakazi ofisi ya mtendaji mkuu wa barclays wamesema mpango wa "banking on change" ambao umelenga kuwasaidia watu masikini umetekelezwa hapa nchini kwa muda wa miaka 3 ambapo mpaka sasa umesha wafikia watu 60 huku asilimia 80 wakiwa ni wanawake na kufafanua kuwa mpango huo utaendelea tena kwa miaka 3 ambapo katika kipindi hicho mpango huo umelenga zaidi kusaidia kundi la vijana.
Akiwa katika eneo hilo Bw Clinton alipata nafasi ya kutembelea baadhi ya mitaa ya eneo hilo na kusalimiana na wananchi mbalimbali waliojitokeza kushuhudia tendo hilo
Nahisi wamarekani wameamua kuwatumia maraisi wao kuwekeza.
Baada ya viongozi wetu kupoteza Amana toka kwa wafadhili, siku hizi wanaamua kuja kukagua kazi zinazofanywa kutokana na Pesa zao. Zamani walituma mapesa, CCM na viongozi wa serikali yake walikuwa wanatafunaUpendo wa Marekani kwetu mbona unakua kwa kasi sana siku hizi!? Hakuna kitu kweli kilichojificha?
Hakuna uwekezaji hapo, ni wenye akili ndogo tu watakao tambia ziara hizo. Ikumbukwe Prof. Baregu aliwahi kusema "Wamarekani wanayo maslahi ya kudumu na wala hawana urafiki wa kudumu"
Prof Baregu ni msomi mzuri wa siasa za Mwalimu, I do respect him for that and many more. Tuangalie bidhaa za mchina tunazouziwa hapa Bongo, japo ni bei rahisi lakini hazidumu kabisa. Angalia hao wachina wanavyo jiingiza katika wazi wa pembe za ndovu, madini yetu na Ukahaba (kuwapeleka dada zetu Hong kong na kuwatumikisha katika madangulo pamoja na Unga). Tujaribu kuwapima wamarekani na wachina, tusijikite sana na akili za kuambiwaHakuna uwekezaji hapo, ni wenye akili ndogo tu watakao tambia ziara hizo. Ikumbukwe Prof. Baregu aliwahi kusema "Wamarekani wanayo maslahi ya kudumu na wala hawana urafiki wa kudumu"
Obama na kichaka tulikula nao dinner juzi hapa, halafu Leo Clinton tuko naye vingunguti tunapiga supu ya mapupu,hawa jamaa wanapoondoka USA kuja vingunguti wanaaga kwamba wanakuja kufanya nini? Inatia Shaka, usikute sisi ni moja ya wilaya mpya za USA!!!
Mkuu kungekuwa kuna uwazi nchini nisingekuwa na wasiwasi. Kumbuka jaribu kukumbuka Clinton amekuja mara ngapi nchini, aliyewahi kuwa makamu wake Algore, Bush. Ikumbukwe kwamba kwa Marekani viongozi wao ni wafanyabiashara wakubwa kwa hiyo wanaweza kuja kupitia mlango wa Foundations na misaada lakini nyuma wanawabeba wafanyabiashara wakubwa. Nadhari bado hujasahau msafara wa Rais Obama wa watu 700+. La muhimu ni kuwa makini na kutokuuzwa, mikataba yote izingatie maslahi ya watanzania.
tehee...tehee..teheee..... bora hiyo huwenda sisi ni punda ila hatujuiObama na kichaka tulikula nao dinner juzi hapa, halafu Leo Clinton tuko naye vingunguti tunapiga supu ya mapupu,hawa jamaa wanapoondoka USA kuja vingunguti wanaaga kwamba wanakuja kufanya nini? Inatia Shaka, usikute sisi ni moja ya wilaya mpya za USA!!!
Prof Baregu ni msomi mzuri wa siasa za Mwalimu, I do respect him for that and many more. Tuangalie bidhaa za mchina tunazouziwa hapa Bongo, japo ni bei rahisi lakini hazidumu kabisa. Angalia hao wachina wanavyo jiingiza katika wazi wa pembe za ndovu, madini yetu na Ukahaba (kuwapeleka dada zetu Hong kong na kuwatumikisha katika madangulo pamoja na Unga). Tujaribu kuwapima wamarekani na wachina, tusijikite sana na akili za kuambiwa
This CCM (Mkapa and JK regimes) is draining our country, our children will be slave in their own country. The 99 years contracts they have been signing, it is insane. We need to come out and educate at least two people per day, at the end of 2015, CCM will be outIn fact my argument never based on an alternative to the Americans. What is needed is to let all stakeholders meaning all Tanzanians from various sections, the elites, civil organizations, religious leaders,politicians, our security departments to cod what business studies call stock taking. After realizing what we have in our stores of natural resources meaning, gas, minerals, gemstones, game park, fishing industry and forests to mention a few. Then we put our priorities what do we need to harvest, looking into various factors such as our capacity in terms human resources, capital, market and so on.
What I see today is as if we are being told that Tanzania will end up after the fourth phase, thus why we are very busy signing contracts without considering the future generations. It if foolishness to trust CCM leadership to be the custodian of the natural resources of this country. There are several people who are neither CHADEMAnor CCM members.
It is high time to sit down and re evaluate what have we benefitted so far Since CCM leadership invited the multination companies under Mkapa Regime and Now JK. "Waswahili walisema UKICHEKA NA NYANI UTAVUNA MABUA"