Billionaires wa tanzania

Tuanze kwanza kufanya analysis ya mapato na matumizi!

Usije ukawa bilionea kumbe ni wa pesa za mikopo tu!

Sisi yunataka net income kwanza..!
 
sawa lkn kuna vingi mno ambavyo ungeulizia majibu yake yangesaidia kupanua fikra za wanajukwaa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…