Billionaires in United Arab Emirates

Bavaria

JF-Expert Member
Joined
Jun 14, 2011
Posts
53,109
Reaction score
53,632





[h=2]There Furthermore ski slopes in the desert[/h]










[h=2]we can also play football in this football gold plated[/h]
 
Hizi picha nyengine si bora kuziona
 
Kweli pukiwa na pesa HATA BABA AKO ATAKWITATA MZEE!!!! Mbaya zaidi kuna wabongo wenzangu hawaishi kujisifu kila kukicha eti nna pesa.....mb.afu!!!!!
 
hivi mmarekani amechemsha kabisa kuwaharibia hawa jamaa?nna hamu kuwaona wakimbizi siku moja wajue upande mwingine wa shilingi wa maisha na fujo zao hizi.
 
Ukienda UAE kama ni mchumia juani unaweza ukajiua watu wanavotumia pesa.. Jamaa wanakula bata marekani cha mtoto..
Utamu unaanza kuuonea angani unachunulia chini ukiwa kwenye ndege sehemu ka Dubai, ukifika airport unaweka sumu karibu... ukitoka nje unachukua sumu unakunywa, magepu yamezidi..
 
hivi mmarekani amechemsha kabisa kuwaharibia hawa jamaa?nna hamu kuwaona wakimbizi siku moja wajue upande mwingine wa shilingi wa maisha na fujo zao hizi.

Failure yako ya maisha isiwe tabu kwa wengine, Tanzania tumegundua ges na mafuta yapo jiani

Jitahidi na wewe uwe kwenye national cake
 
Siku moja nilikuwa naangalia kipindi kwenye TV kuhusu machangudoa wa kule, walikuwa hawaoni noma kuongea bila kuficha nyuso zao na kuelezea uzuri wa biashara zao na siku ya neema anaweza akavuna kiasi gani cha pesa. Wengine walikuwa na kazi zao za maana sana wakazitosa ili kwenda kufanya uchagudoa na wanadai hawajutii maamuzi yao.
 
 
Last edited by a moderator:
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…