Bill Nas... Tutegemeee janga jingine la uteja..

Jomba Wajo

Member
Joined
Apr 6, 2012
Posts
33
Reaction score
17
Itakuja siku, kama si tahadhari binafsi kuchukuliwa, hiphop bongo itapotelea kusikoko.
Hii ni kwa sababu waimbaji wa mtindo huu wamekuwa wakihusishwa sana na uvutaji unga kama ilivyo kuwa kwa kwa mangwea, langa, na wengineo. inasdemekana pia pia ukaribu wa b.nas na tid ni kukutana kwenye maskani sa unga.
 
...we inakuhusu?.acha umbea,fanya yako!
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom