Bill Gates anywa maji ya Kinyesi

South Africa maji ya Jhb na Pretoria.yanatokana na hiyi system zaidi ya miaka 20 iliyopita
 
B.. hivi haya maji yakija huku na nnavyokujua kupenda vya ulaya,, utayaacha kweli B wangu??????? Na tumbo lako lilivyo bovu... Sijui wat next B...

na nikienda supermarket nasema naomba water badala ya maji alafu nikinywa nasema ooh my gush so nice
 
unaumwaje kabla wakati unakunya hatari mpaka sisi wapangaji wenzako hapa keko unatukwaza sana ukiingiua chooni ..humalizi kunyaaaa

sasa ndiyo nikinywa hayo maji ya bill gate ndiyo mtahama
 

uko sawa kaka, kudos! Hofu yangu ni kwamba kuna dini itasema haya maji ni NAJISI kupitia fatwa

just thinking out loudly
 
Haya maji yatapendwa sana na MABASHA a.k.a MAMENDE , MUKAKA , WALAJITIGO !
 
Kwa hiyo tunaanza kunywa vinyesi? Hii tech wangekaa nayo wao wenyewe.
 
Windhoek, Namibia; zaidi ya asilimia 40 ya maji salama yanatokana na maji ya chooni. Kuna sehemu wana bwawa na mtambo wa kusafishia.

Mmmmh, kwani huyu baba. Bado ni mmiliki wa Microsoft corp?
Asha drop hata u chairman na ka liquidate his most shares

mavi kumbe yana matumizi mengi

kutoka kuzalisha gas na baadae umeme

kuja kwenye gongo

na sasa maji ya kunywa

Kiu ni kiu tu lazima ikatwe, ila kwenye chupa wasiandike wala mtu asiniambie hayo maji yametokana na kinyesi.

Teknolojia safi sana...ila anamoyo kuona kabisa kinaingia kinachujwa kinatoa maji aisee duh mi ningeanza kuumwa kabla ..

Mbona yana unjanonjano

Mhhh. mbona kama anayasikilizia? Yana ladha ya udambwi dambwi nini?

Mmmh wanywe wenyewe tu
 
duuuh!!! naemagine ningekuwa ndio nimeshuhudia hiyo process mpaka yakawa maji alafu naambiwa onja!!!! aisee walaa nicngebaki eneo hilo

hivi na chupa zitaandikwa maji yametokana na nn km maji mengine??? maana duuh!!
 
Mbona sisi huku Arusha tuna bwawa la Mavi pande za darajani tunakunywa hayo maji bila kuyafanyia process ya kuyasafisha longtime na tunadunda!

:becky::becky::becky::becky:
 

Uongozi mbovu wa sisiem umeoza. mambo yatakua safi kuanzia mwakan wakiingia viongoz wanaojielewa tz
 
Mhhh!!! Yataka moyo kuyanywa maji haya....
 
hayo maji hata mimi ntakunywa, afu ni salama zaidi kuliko maji mengi ambayo watu wanakunywa mitaani..
 
Wakileta bongo tutaacha kufungulia vyoo nnya wakati wa mvua hasa ubungo tutapigana kwa ajili ya kutunza nnya ili tupate maji
 
Windhoek, Namibia; zaidi ya asilimia 40 ya maji salama yanatokana na maji ya chooni. Kuna sehemu wana bwawa na mtambo wa kusafishia.

Kumbe bas uelewa wangu mdogo kwa hili
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…