Bill Gates anywa maji ya Kinyesi

Hii teknolojia si mpya mbona. Nchi zote zilizoendelea wanatumia mfumo huu wa maji safi. Wanaita recycled water. Hata hapa Africa kuna baadhi ya nchi wanatumia mfumo huu kwa miaka sasa.
hapa hawafanyi re-cycling. wanachoma kupata mvuke unaokuwa maji hapo baadae, na umeme unapatikana!
 
Last edited by a moderator:
Sioni cha ajabu, ni ime advanced sasa, lakini zipo sehemu nyingi tu duniani walikuwa wanatumia recycle water. Kuna hoteli ya Kitalii zanzibar inatumia recycle water kumwagilia bustani yake kubwa ya maua mazuri. Hivyo kama waliweza hivyo sasa teknolojia imekuwa unaweza kunywa. sioni cha ajabu au kwa vile ni Billy Gates?
 
Mababu zetu walishaanza kuifanyia kazi hii technologia kwa kutengeneza pombe inayotokana na kinyesi badala ya kuungwa mkono wakaishia kufungwa.
 
Mmmmh, kwani huyu baba. Bado ni mmiliki wa Microsoft corp?
Asha drop hata u chairman na ka liquidate his most shares
kutokuwa chairman sio kutokuwa mmiliki. ila kwa issu ta gates ni still shareholder but not a largest individual shareholder.
Gates has sold 80 million shares annually each of the past 12 years under a preset trading plan to fund the Bill & Melinda Gates Foundation. At the current rate, Gates will have no direct ownership stake of the company by mid-2018.





 
Teknolojia safi sana...ila anamoyo kuona kabisa kinaingia kinachujwa kinatoa maji aisee duh mi ningeanza kuumwa kabla ..

unaumwaje kabla wakati unakunya hatari mpaka sisi wapangaji wenzako hapa keko unatukwaza sana ukiingiua chooni ..humalizi kunyaaaa
 
Mbona sisi huku Arusha tuna bwawa la Mavi pande za darajani tunakunywa hayo maji bila kuyafanyia process ya kuyasafisha longtime na tunadunda!
 
HATA VINYESI VYA WAHINDI VILIVYOJAA PILIPILI IUGEUKA MAJI? mhh mi hapana, hata vya wamasai tunywe!
 
Maji yote yalishawahi kuwa kinyesi cha fulani at some point. If you really want to get to the nitty gritty.

The world is one big recycling plant.

Unapokufa, maji yaliyo katika kinyesi chako yanaingia ardhini na kuingia katika water table, yanaenda kwenye visima na mito, tunakunywa hayohayo.

Ukiwa huelewi hili tu ndiyo unaweza kumshangaa Bill Gates.

Tena hayo anayokunywa Bill Gates yanaweza kuwa masafi kuliko maji wanayokunywa Watanzania wa hali ya kati.

Kwa maana ya kwamba maji wanayokunywa Watanzania wa kawaida yanaweza kuwa na bacteria kibao, mpaka wa cholera, wakati hayo maji yaliyochujwa kutoka kinyesi anayokunywa Bill Gates yameondolewa bacteria wote, yamebaki safi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…