Ume catchBill Gates ni mpuuzi, Trump yuko sawa na Afrika inabidi tujipange kujisaidia wenyewe, kwangu D.Trump kaletwa na Mungu ili kutuambia ukweli, watu kama Bill Gates ndo maracists wakubwa kwani wanaamini sisi siyo binadamu kamili na tunahitaji kusaidiwa!
Fvck Bill Gates!
Utaitwa mchocheaji.Hahaha makamu wa papa Francis hajamuwakilisha papa huko Davos, maana papa anajua kilatin pekee.
PHahaha makamu wa papa Francis hajamuwakilisha papa huko Davos, maana papa anajua kilatin pekee.
Ha ha ha! like this!Hahaha makamu wa papa Francis hajamuwakilisha papa huko Davos, maana papa anajua kilatin pekee.
Hahahaha. Siyo ivyo mkuu bado anainyosha vaticanHahaha makamu wa papa Francis hajamuwakilisha papa huko Davos, maana papa anajua kilatin pekee.
Sio sera mbaya za wakoloni, sema sera mbaya za viongozi wetu.Siyo ubinadamu kumudharau mtu wa chini uliyemnyonya kiuchumi na kujitajirisha(Afrika) trump hayuko sahihi,kila mwafrika anakiu ya maendeleo ila sera mbaya za wakoloni
Makini sana Mkuu, mtu anayelilia kuwa tusaidiwe ana maana kuwa sisi hatujiwezi na hatupo sawa na wao wanaoweza kujisimamia wenyewe.Bill Gates ni mpuuzi, Trump yuko sawa na Afrika inabidi tujipange kujisaidia wenyewe, kwangu D.Trump kaletwa na Mungu ili kutuambia ukweli, watu kama Bill Gates ndo maracists wakubwa kwani wanaamini sisi siyo binadamu kamili na tunahitaji kusaidiwa!
Fvck Bill Gates!
Ana nia nzuri ya kututunza?kwani sie hatujiwezi?matusi haya!Mi naona Bill gates ana nia nzuri tu
Matatizo ya Afrika ni ya Waafrika wenyewe. Ukiishang'amua hilo ndio mwanzo wa maendeleo. maendeleo hayaji kama hisani bali ni struggle. Ukishindwa usimlaumu mwingine.Siyo ubinadamu kumudharau mtu wa chini uliyemnyonya kiuchumi na kujitajirisha(Afrika) trump hayuko sahihi,kila mwafrika anakiu ya maendeleo ila sera mbaya za wakoloni
Huwezi ku struggle wazungu wakakuacha bora tu africa ibaki na umaskini wake yupo wapi GaddafMatatizo ya Afrika ni ya Waafrika wenyewe. Ukiishang'amua hilo ndio mwanzo wa maendeleo. maendeleo hayaji kama hisani bali ni struggle. Ukishindwa usimlaumu mwingine.
Kwanin tusubiri kudra ya Wazungu?kwani sie tunatofauti gani na wale wa Asia waliokuwa kwenye ukoloni kama sie na leo wapo vizuri.Huwezi ku struggle wazungu wakakuacha bora tu africa ibaki na umaskini wake yupo wapi Gaddaf
Kweli issue sio ukoloni. Issue ni sisi. Wewe kijana akiajuruwa Bandari anawaza kununia Alteza na kufunga maspika na Exsozi kubwa ili mitaa imkome.Sio sera mbaya za wakoloni, sema sera mbaya za viongozi wetu.