Mr.Toyo
JF-Expert Member
- Feb 9, 2007
- 433
- 117
[TABLE="class: contentpaneopen"]
[TR]
[TD="class: contentheading"]Bill Clinton: Washington ijiweke tayari kupoteza nafasi yake ya kuudhibiti ulimwengu[/TD]
[/TR]
[/TABLE]
[TABLE="class: contentpaneopen"]
[TR]
[TD]
Bill Clinton, Rais wa zamani wa Marekani amesema, kutokana na kuongezeka nguvu za nchi kama vile China na India, Marekani ijiweke tayari kupoteza nafasi yake ya udhibiti wa ulimwengu. Bill Clinton alinukuliwa hivi karibuni, katika kikao cha saba cha kila mwaka cha Stratijia ya Ulaya ya Yalta kilichofanyika nchini Ukraine akisema kama ninavyomnukuu:" Wakati uchumi wa nchi nyingine unapiga hatua mbele zaidi kuupita uchumi wetu bila ya shaka nchi hizo zitataka kuongeza nguvu zao za kijeshi pia na hivyo hazitokuwa tena na utegemezi kwa Marekani," mwisho wa kumnukuu. Huku akielezea matumaini yake juu ya Washington kuendelea kuwa na taathira katika kujenga daraja la urafiki na mataifa mengine' Clinton amesisitiza kuwa ikiwa Marekani inataka ipige hatua mbele lazima ikubali kuachia na kupoteza baadhi ya fursa ilizonazo hivi sasa..
SOURCE: [/TD]
[/TR]
[/TABLE]
Bill Clinton: Washington ijiweke tayari kupoteza nafasi yake ya kuudhibiti ulimwengu
Former U.S. President Bill Clinton believes that Washington must brace for loss of global dominance in the face of rapidly developing economies like China and India."When another nations economy overtakes ours, it will rely exclusively on itself to acquire greater military power, and no longer on the U.S.", stated Clinton last night at the seventh annual meeting of the Yalta European Strategy (YES) held in the Crimean peninsula (Ukraine)."Once we lose control, I would still like the U.S. to remain influential in a positive sense," said the former president, adding that his intention is to build "bridges of friendship" between the U.S. and other nations.He also recommended the U.S. should give up some of its current privileges if it is to move forward. "Sooner than later, any system reaches a point where it prefers to preserve things as they are rather than to evolve (...). We need the courage to downsize a very comfortable lifestyle so that our children and grandchildren may live in a world that is ever changing for the better", he said.
source:Bill Clinton: U.S. should be prepared to lose global dominance [Voltaire Network]
[TR]
[TD="class: contentheading"]Bill Clinton: Washington ijiweke tayari kupoteza nafasi yake ya kuudhibiti ulimwengu[/TD]
[/TR]
[/TABLE]
[TABLE="class: contentpaneopen"]
[TR]
[TD]
SOURCE: [/TD]
[/TR]
[/TABLE]
Bill Clinton: Washington ijiweke tayari kupoteza nafasi yake ya kuudhibiti ulimwengu
[h=1]
[/h]
source:Bill Clinton: U.S. should be prepared to lose global dominance [Voltaire Network]
[FONT='Lucida Grande', 'Lucida Sans Unicode', Verdana, Arial, Helvetica, sans-serif]
[/FONT]
[/FONT]