Bilioni 3 zaipagawisha CHADEMA

Mbona maelezo hayajajitosheleza.

Yaani hela za Serikali ziweje za Chadema, ni Ruzuku au ni fedha zipi? Je vyama vingine vimepata au wao Chadema tu

Isije kuwa ni habari za kutunga zikiwa na lengo la kugombanisha Chama
 
Asali aliyolamba Mbowe
 
Hili gazeti jipya machoni kwangu. Mmiliki wake ni nani. Wabobezi mtujuze
 
Watu wanalamba asali ya Zanzibar, yaani ndio maana Lemma ametoka nduki Canada kuwahi mgao, na Sasa anatamba amelipa madeni yake yote, Lissu kalamba zake, fasta kazi eba kahamishia Canada kujenga na kuwekeza, halafu akirudi anasema nchi haina maendeleo, utaendeleaje wakati unasomba Hela Tanzania unapeleka marekani kwa watoto wako.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…