Missile of the Nation
JF-Expert Member
- May 24, 2018
- 17,063
- 63,229
KIsarufi hilo neno hutumika kuonesha kisio la tendo na siyo tendo halisi. Kwa mfano unaweza kuandika "Azizi Ki aipa Yanga ubingwa" Lakini huwezi andika "Azizi Ki ameipa Yanga ubingwa" wakati ligi bado haijaisha!!Sasa zaipa unaelewa nn? Hivi kweli kabisa umeamua kutokua na akili?
pesa za ccm anapiga chongolo na kinana huku mazezeta mkiqmbulia buku saba kila thread.Ujanja wenu wote pesa anawapiga mtu mmoja?[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] Mbowe master sana
Mengine yaliyopita kama yale ya 1.5 Trilioni?? au zile Bilioni 365 za Tegeta Escrow!!??CAG karishika wapi na lini? Hilo lilipita Kama mengine tu yaliyopita
sukuma gang jiandaen kisaikolojia maana 2025 hampati hata udiwan.Hiki siyo kibuyu cha asali hili ni tanki kabisa la asali.
Ndiyo maana akina Mbowe sasa hivi wanashibdana katika kumwaga sifa kwa Samias
kiongoz sukuma gang ni wapumvavu hawatakuelewa maana elimu hawana wamebaki kushindana kuandaa threads kwa buku saba."zaipa" siyo neno linalomaanisha ukamilifu wa tendo. na Gazeti halijaandika "Zimeipa" ambalo ni neno linaloonesha tendo kamilifu!!
Haka kamchezo kameshika kasi sana nchini. Baada ya hao akina Hakika Reuben nimeona mahala akina Juma Lokole ni kama vile anajitangaza rasmi, wengine wakiendelea kujionyesha kupitia post zao ingawa wanafanya hivyo kwa kificho sanaBilion 3 zimeipa kiwewe chadema, huko ndani hakukaliki. Watu wanapishana tu koridoni, kila mtu kageuka chawa wa mwenyekiti. Kila mtu anataka kulamba kidogo.
Hizi pesa chadema mlizopewa mnapaswa kujenga ofisi ya kisasa acheni uswahili. Lakini kwa navyowajua zitaishia kwenye mikoni ya wachache. Pia niwashauri yale mambo ya kufanya manunuzi alafu vinavyonunuliwa kuandikwa jina la mtu binafsi acheni, safari hii Kuna kundi humo limejipanga kuwabumbulua.
Njaa haina baunsa
View attachment 2550405
CCM ni chama dola, CCM Ni taasisi kubwa mno. Acha kulinganisha na vyama vya mfukoniulishawahi kuuliza huko ccm kuwa inapokea ngapi au wewe ndio yale mabwabwa yaliyopo nchi hii aliyotaka kupambana nayo makonda akakatazwa na dikteta kuwa awaache.
Kama pesa atawapa na wengine sina swali nae, Ila Kama atakula peke yake basi tutambanaHiki siyo kibuyu cha asali hili ni tanki kabisa la asali.
Ndiyo maana akina Mbowe sasa hivi wanashibdana katika kumwaga sifa kwa Samia
Kwa hiyo mpo sawa na haao wanaokula?Mengine yaliyopita kama yale ya 1.5 Trilioni?? au zile Bilioni 365 za Tegeta Escrow!!??
Hapa sijaelewa Tena, hivi huwa unasoma unachoandika?KIsarufi hilo neno hutumika kuonesha kisio la tendo na siyo tendo halisi. Kwa mfano unaweza kuandika "Azizi Ki aipa Yanga ubingwa" Lakini huwezi andika "Azizi Ki ameipa Yanga ubingwa" wakati ligi bado haijaisha!!
Viongozi aina ya mbowe. Au mbowe sio kiongozi?Hizo shida za wananchi zimesababishwa na nani!!?
Hatuko sawa. Sisi tunazushiwa wao wanakula kweli hela za wananchi wenzao.Kwa hiyo mpo sawa na haao wanaokula?
Nasoma ninachoandika. Hayo maneno hayapo sawa na wala maana yake si moja.Hapa sijaelewa Tena, hivi huwa unasoma unachoandika?
Mbowe hjawahi kuongoza serikali. Shida za wananchi zinaletwa na wanaoongoza serikali!!Viongozi aina ya mbowe. Au mbowe sio kiongozi?
Maana ya chama dola unaielewa?? Wenyewe mnaita chama chenu ni chama dola, viongozi wenu wakiitwa madikteta mnanuna. Huwezi kuwa na chama dola bila ya kuwa na udikteta.CCM ni chama dola,
shida ya chadema hawafuati sheria za fedha na manunuzi.mtu mmoja ndo anaye control fedha zote za chama.yeye ni mhasibu pia ni afisa manunuzi.hapo ndo kwenye tatizo kubwa ndo maana hata wananchi wamewachoka na wanajua tu kila chama kiko kwa maslahi binafsi si kwa ajili ya wananchi.Bilion 3 zimeipa kiwewe chadema, huko ndani hakukaliki. Watu wanapishana tu koridoni, kila mtu kageuka chawa wa mwenyekiti. Kila mtu anataka kulamba kidogo.
Hizi pesa chadema mlizopewa mnapaswa kujenga ofisi ya kisasa acheni uswahili. Lakini kwa navyowajua zitaishia kwenye mikoni ya wachache. Pia niwashauri yale mambo ya kufanya manunuzi alafu vinavyonunuliwa kuandikwa jina la mtu binafsi acheni, safari hii Kuna kundi humo limejipanga kuwabumbulua.
Njaa haina baunsa
View attachment 2550405
Ukiwa mbunge shida za Wananchi hazikuhusu?Mbowe hjawahi kuongoza serikali. Shida za wananchi zinaletwa na wanaoongoza serikali!!
Nani kanuna? Mimi nafurahiMaana ya chama dola unaielewa?? Wenyewe mnaita chama chenu ni chama dola, viongozi wenu wakiitwa madikteta mnanuna. Huwezi kuwa na chama dola bila ya kuwa na udikteta.
Zinakuhusu ila wewe siyo uliyezileta!!Ukiwa mbunge shida za Wananchi hazikuhusu?