TANZIA Bilionea Charlie Munger afariki Dunia

RIP Charlie Munger mzee hatari sana huyu kwny mambo ya uwekezaji combination yake na Warren it was so Funny,, jamaa walikua na utani mwingi sana hawa wakiwa pamoja huwezi kuchoka kuwasikiliza...[emoji2969]
 
Yeah, nadhani Vision na mission zao zili endana
 
Alazwe mahali pema peponi. Ni muda sasa wa familia kuteua msimamizi wa mirathi. Itakuwa simanzi kuona wanandugu wanaanza kugombea mali za marehemu.
Wenzetu wana succession plan ya kueleweka na Nchi zilizoendelea huziangalia kwa ukaribu kampuni ambazo zina impact kubwa kwenye nchi yao.

Kwa Tanzania mzee Mengi alijitahidi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…