GENTAMYCINE
JF-Expert Member
- Jul 13, 2013
- 56,548
- 108,882
Kwahiyo Wewe unataka Kushindana au Kubishana na Mwenyezi Mungu katika ' Uumbaji ' wake kiasi kwamba umeona aina ya Uume / Mkuyenge aliokupa na Kukubariki nao haufai na Wewe unataka uufanyie ' Maboresho ' zaidi.
Mfe tu kwa huu ' Upuuzi ' wenu.
R.I.P sana na mno Bilione Mpuuzi. Kwahiyo mnadhani Sisi wengine wenye ' Mikuyenge ' midogo au ya wastani hatutaki kuwa na hiyo ' Mitalimbo ' ambayo nyie mnaitaka? Ila tunavumilia tu kwakuwa tunajua ya kwamba Mwenyezi Mungu ana ' Makusudi ' yake ya Kumuumba Mwanaume na kila aina ya ' Mkuyenge / Uume ' alionao na kila Mwanaume anatakiwa ajivunie kwa hilo na aliheshimu.
Chanzo: Gazeti la Tanzania Daima Ukurasa wa Tano ( 5 )
Nawasilisha.