Bila ya elimu ungakua wapi sasa?

tuusan

JF-Expert Member
Joined
Jun 30, 2016
Posts
17,973
Reaction score
20,223
Habari za jioni hii wadau wa hili jukwaa letu pendwa..
Umewahi kujiuliza bila ya wewe kwenda shule kupata maarifa kuondoa ujinga kichwani Leo Hii ungekua na maisha ya aina gani?
Jaribu kuvuta picha ndio huna ujuzi wowote hujui chochote Yaani hujasoma maisha yako yangekua vipi...
Shule ni muhimu sana imetufungua akili zetu tuweze kua wa Maana zaidi na kuyafaidi zaidi mazingira yanayotuzunguka...

Kabla sijamaliza fikiria jinsi ilivyo sio rahisi kufanya kazi za mikono (kua layman sio jambo la mchezo)....
Tuwashukuru sana wazaz waliotukazania kusoma maana bila ya jitihada zao Leo hii hali sijui ingekuaje..

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Yaani nimesoma iliniondoe ujinga alafu nikae nianze kuufikiria ujinga, hii haiwezekani
 
Taji Tajiri mkubwa ktk bara la Africa hakuwa na elimu hiyo uisemayo!!
 
Bila ya formal education pengine ningekua ufukweni mwa bahari ya hindi napara samaki.
 
Ningekuwa shangingi la hatari natikisa tako kwenye vigodoro. Maana huko nilikokulia ni balaa. Namshukuru Mungu
 
Kuna watu hawajasoma na wala hawajii kuandika hata jina wana maisha mazuri sana kuna akili ya maisha na akili ya darasani elimu ilikuwa zamani

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…