BADILI TABIA JF-Expert Member Joined Jun 13, 2011 Posts 32,766 Reaction score 23,230 Mar 3, 2012 #21 wanaume wengine wakizipata yanalia mbwata mbwata..... Usikute dharau iliongezeka ndani ya nyumba, au mwanaume analala nje, amani hakuna nk........ Loh pole kwa hiyo familia
wanaume wengine wakizipata yanalia mbwata mbwata..... Usikute dharau iliongezeka ndani ya nyumba, au mwanaume analala nje, amani hakuna nk........ Loh pole kwa hiyo familia
Kongosho JF-Expert Member Joined Mar 21, 2011 Posts 35,987 Reaction score 24,232 Mar 3, 2012 #22 mmmh, hivi bora kula tembele, watoto kusoma kayumba, kupanga, kupanda daladala kuliko mme kupepesa macho nje???
mmmh, hivi bora kula tembele, watoto kusoma kayumba, kupanga, kupanda daladala kuliko mme kupepesa macho nje???