Rutashubanyuma
JF-Expert Member
- Sep 24, 2010
- 219,502
- 911,254
Vijicent ndivyo vinawafanya mizee in their 50s n 60s kujiona kuwa they r sikstin na kufuata vimiss samwea! Na asikuambie mtu, ndoa huharibiwa zaidi na hizi nyumba ndogo zifuatazo mapene!
Mwenye tabia haachi kamwe hata vijisenti vikimuishia atapata njia tu ya kuendelea kufanya upuuzi wake, kamwe siwezi kuomba riziki ipae ili eti mwenzangu atulie, zaidi angeomba Mungu mumewe abadilike au pia angejaribu kumbadili taratibu. Kwasababu akizishika tena atarudi kule kule. Sasa whats that?!
Rutashubanyuma ulikuwa wapi? ulipotea mkuu.
Mwanadamu huwezi kumbadili ila Mungu tu ndiye awezaye yote..............akzipata nitawajulisha kama karudia kulekule au sasa umri na uzoefu vinamwongoza kwingineko........
Huyo mama ni wa kuogopa kabisa. Hawezi kumuombea mumewe asiwe na hela, wakati hela ndio zinafanya maisha kuwa mazuri. Alitakiwa ktumia mbinu nyingine kumrekebisha. Nakumbuka kesi moja ambapo mama mmoja alienda kumshtaki mumewe kazini kwake kwamba anatoa wapi pesa nyingi namna ile kila mwisho wa mwezi (mumewe alikuwa paymaster jeshini na ni kipindi mishahara ilikuwa inalipwa dirishani), walipochunguza jamaa akafukuzwa kazi. Ingawa sipalilii wizi lakini huyu pia ni aina ya wanawake wa ovyo namna hiyo.

Nilimaanisha kumbadili tabia sio uumbaji!
Mwanamke gani anaye omba mme wake awe masikini, huyo mwanamke wakumpa pole nadhani hazimtoshi.
Siyo huyo mama tu hata mimi pia, kama hela ndio inayomtia dharau na kujiona very hata mimi ningemwombea awe masikini, tule bamia na mlenda wetu lakini heshima ipo ndani.
Kabisa kabisa sijuwi wanawake wengine wanapenda vipi aisay, unaolewa na mwanaume humpendi hio nayo noma.tatizo ambalo hulioni ni kuwa hakuolewa kwa ajili ya kula,..............hata kwao alikuwa anakula............kama penzi halipo huo ndiyo umasikini mkubwa kulikoni ule wa mavituzi........................
Kabisa kabisa sijuwi wanawake wengine wanapenda vipi aisay, unaolewa na mwanaume humpendi hio nayo noma.