Jamani tuacheni kusifia sifia kila kitu. If that's the case then.... tuanze kujenga kuta ktk sehemu zote zenye madini, mbuga za wanyama na nyingine zote zenye uwepo wa rasilimali zenye thamani kubwa.
Kama watu wenye uelewa wa uwekezaji wa miradi mikubwa, hivi ktk suala la ujenzi wa huo ukuta tumeshazingatia vitu muhimu kama "pay back period & internal rate of return" ya uwepo wake. Tusiache wanasiasa peke yao kumiliki "course of action" na kujisifu ama kusifia kila kitu bila hata ya uwepo wa hoja za kitaalamu ktk kuhalalisha jambo hilo.