Together tunawakilisha!!!Tupo pamoja mpaka nusu fainali
Tunaposherekea ushindi wa Yanga jana kuingia robo fainali ya club bingwa,tusiache mbachao kwa msala upitao,Simba alichonga njia kwa machozi na damu kutuonesha ya kwamba inawezekana kushindana na timu zenye misuli mikubwa kibajeti na kimfumo za kaskazini na baadhi za kusini.
Ndipo timu zingine za Tanzania zikaanza kuamka ikiwemo Yanga,Azam fc na Namungo,nimeona mijadala mingi ikiendelea na kuonesha dharau kwa miamba hiyo ya Tanzania inayoongoza mabadiriko chanya ya kisoka kila uchwao na wengine kuigiza au kuboresha,ama hakika kila mwanasoka anapaswa kusema shikamoo simba kwa maana sasa ushindani utaongezeka na hatimae kombe la Afrika litaletwa nchini.
Nb; Masikio hayawezi zidi kichwa.
Yaani ni kama mtu aliyedisco semester ya mwisho chuo, ajifunze kwa mwanafunzi aliyefail form four namna ya kufaulu chuo.Tunaposherekea ushindi wa Yanga jana kuingia robo fainali ya club bingwa,tusiache mbachao kwa msala upitao,Simba alichonga njia kwa machozi na damu kutuonesha ya kwamba inawezekana kushindana na timu zenye misuli mikubwa kibajeti na kimfumo za kaskazini na baadhi za kusini.
Ndipo timu zingine za Tanzania zikaanza kuamka ikiwemo Yanga,Azam fc na Namungo,nimeona mijadala mingi ikiendelea na kuonesha dharau kwa miamba hiyo ya Tanzania inayoongoza mabadiriko chanya ya kisoka kila uchwao na wengine kuigiza au kuboresha,ama hakika kila mwanasoka anapaswa kusema shikamoo simba kwa maana sasa ushindani utaongezeka na hatimae kombe la Afrika litaletwa nchini.
Nb; Masikio hayawezi zidi kichwa.
Nenda kwenye page ya caf wenye kombe lao wamesema unaingia robo kwa mara ya kwanza,sasa jiulize toka 1931 kwanini kuingia makundi na kufika hatua uliyofika jana ilikuwa kazi,kutangulia kuzaliwa kwako hakukuwa na faida mpaka ulipofundishwa na mdogo wako.Yanga imezaliwa 1931 na ndiyo timu yenye makombe mengi zaidi nchini. Nani ajifunze kwa mwezake hapo?
Simba haja disco Simba bado timu tishio kwenye soka la ndani nje kubali kimataifa umezidiwa points na mafanikio, usiwe na haraka jitahidi na wewe utamfikia ukijitahidi.Yaani ni kama mtu aliyedisco semester ya mwisho chuo, ajifunze kwa mwanafunzi aliyefail form four namna ya kufaulu chuo.
Young Africans tutatoa shule ya namna ya kubeba mataji makubwa ya CAF kwa timu zote za TZ zilizozoea kufa kiume. Mwaka jana tumekikosakosa kimoja ila mwaka huu hatutarudia makosa.
Simba kimataifa ina mafanikio ganiSimba haja disco Simba bado timu tishio kwenye soka la ndani nje kubali kimataifa umezidiwa points na mafanikio, usiwe na haraka jitahidi na wewe utamfikia ukijitahidi.
Tunaposherekea ushindi wa Yanga jana kuingia robo fainali ya club bingwa,tusiache mbachao kwa msala upitao,Simba alichonga njia kwa machozi na damu kutuonesha ya kwamba inawezekana kushindana na timu zenye misuli mikubwa kibajeti na kimfumo za kaskazini na baadhi za kusini.Tunaposherekea ushindi wa Yanga jana kuingia robo fainali ya club bingwa,tusiache mbachao kwa msala upitao,Simba alichonga njia kwa machozi na damu kutuonesha ya kwamba inawezekana kushindana na timu zenye misuli mikubwa kibajeti na kimfumo za kaskazini na baadhi za kusini.
Ndipo timu zingine za Tanzania zikaanza kuamka ikiwemo Yanga,Azam fc na Namungo,nimeona mijadala mingi ikiendelea na kuonesha dharau kwa miamba hiyo ya Tanzania inayoongoza mabadiriko chanya ya kisoka kila uchwao na wengine kuigiza au kuboresha,ama hakika kila mwanasoka anapaswa kusema shikamoo simba kwa maana sasa ushindani utaongezeka na hatimae kombe la Afrika litaletwa nchini.
Nb; Masikio hayawezi zidi kichwa.
Kolo lini ulimfunga mwarabu kwake au unajiashua tu kama pumbu za mbuzi?Tunaposherekea ushindi wa Yanga jana kuingia robo fainali ya club bingwa,tusiache mbachao kwa msala upitao,Simba alichonga njia kwa machozi na damu kutuonesha ya kwamba inawezekana kushindana na timu zenye misuli mikubwa kibajeti na kimfumo za kaskazini na baadhi za kusini.
Simba haja disco Simba bado timu tishio kwenye soka la ndani nje kubali kimataifa umezidiwa points na mafanikio, usiwe na haraka jitahidi na wewe utamfikia ukijitahidi.
Sio robo tu mpaka fainali ya CAF tumecheza! Hakuna club yenye mafanikio zaidi ya Yanga hapa Tanzania. Wewe hata medali ya CAF hauna!Nenda kwenye page ya caf wenye kombe lao wamesema unaingia robo kwa mara ya kwanza,sasa jiulize toka 1931 kwanini kuingia makundi na kufika hatua uliyofika jana ilikuwa kazi,kutangulia kuzaliwa kwako hakukuwa na faida mpaka ulipofundishwa na mdogo wako.
Maanina mmepoteana kabisa kila kolo anakuja na lake πππTunaposherekea ushindi wa Yanga jana kuingia robo fainali ya club bingwa,tusiache mbachao kwa msala upitao,Simba alichonga njia kwa machozi na damu kutuonesha ya kwamba inawezekana kushindana na timu zenye misuli mikubwa kibajeti na kimfumo za kaskazini na baadhi za kusini.
Ndipo timu zingine za Tanzania zikaanza kuamka ikiwemo Yanga,Azam fc na Namungo,nimeona mijadala mingi ikiendelea na kuonesha dharau kwa miamba hiyo ya Tanzania inayoongoza mabadiriko chanya ya kisoka kila uchwao na wengine kuigiza au kuboresha,ama hakika kila mwanasoka anapaswa kusema shikamoo simba kwa maana sasa ushindani utaongezeka na hatimae kombe la Afrika litaletwa nchini.
Nb; Masikio hayawezi zidi kichwa.
Bila Manji uwekezaji kwenye Club tunge usikia kwa wenzetu.Tunaposherekea ushindi wa Yanga jana kuingia robo fainali ya club bingwa,tusiache mbachao kwa msala upitao,Simba alichonga njia kwa machozi na damu kutuonesha ya kwamba inawezekana kushindana na timu zenye misuli mikubwa kibajeti na kimfumo za kaskazini na baadhi za kusini.