Bila shaka ni Mtindiga Huyu

Naona mnatuchukuliaga poa sana! Anyways, Wasukuma ni kabila linaloongoza kwa ukarimu...ambacho sikipendi kwa kabila langu, ni "Imani za kishirikina, kuua wazee na albino."
 
umesahau na ushamba mnao kwa kiasi kikubwa
 
ha ha ha! Hiyo haipo siku hizi coz of social interaction & inter marriages. Mimi nikiwaambia watu kuwa ni msukuma huwa wanakataa, wakati nimeishi usukumani kuanzia kuzaliwa mpka kidato cha nne. Kuanzia A-level na Chuo nikaenda nje ya mkoa...Utandawazi umejanjarusha watu mkuu!
 
Naona mnatuchukuliaga poa sana! Anyways, Wasukuma ni kabila linaloongoza kwa ukarimu...ambacho sikipendi kwa kabila langu, ni "Imani za kishirikina, kuua wazee na albino."
hapana mnajichukulia powa
 
umesahau na ushamba mnao kwa kiasi kikubwa
Umekariri,dunia inazunguka na kujizungusha pia,hatupo pale mlipotuacha mwanzo,tupo kule mnakoelekea nyinyi!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…