Bila Pesa Mwanaume ni Kivuli Tu Duniani

Another piece of sh*t from your head....hili suala ungejisemea mwenyewe usitujumuishe wanaume wote, tupo wanaume ambao hatuna hela, choka mbaya tu, na pisi kali za town tunazitafuna na nyingine tunawanyanganya hao wenye hela.
 
umeandika nini
 
ukitaka kuijua hiyo Id
vuta kumbukumbu ya miaka ya 2018 - 2020 tulivyokuwa tunabonga hadi usiku wa manane. kipndi hicho wimbo fulani wa Ella Mai ndio umetoka toka tu na siku moja ukauweka status.
Heeeeee 🤣🤣🤣🤣🤣
Hapo kwenye kukumbuka Id ndo kimbembe
Basi haina haja kumbukumbu iliyopo inajitosheleza pia🤣🤣🤣🤣
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…