MUNGU ni neno linalomaanisha Hali ya UKUU na UWEZO usio na kikomo na ndani yake UUMBAJI wa vitu vyote.
MUNGU ANAAGIZA WANADAMU WAPENDANE WAO KWA WAO, WALA WASIUANE MAANA MUNGU hana radhi na wapumbavu. Tulipofika kama Taifa hatuna msaada tena zaidi ya kumlilia Mungu kwa kuwa sasa hivi ukisema ukweli utaitwa "Mchochezi" Haki na mawazo ya raia yanapozimwa kwa mtindo wa mwaka '47' ni kuliangamiza taifa. Maana haki huinua taifa lakini dhambi ni chukizo kwa kila mtu. Wacha Mungu tusimameni kuiombea nchi hii na kuchukua hatua za kusimama katika nafasi za uongozi bila kujali misingi ya dini. Naamini wapo watu wa madhehebu na dini mbalimbali wanaomcha Mungu wao kwa dhati
Mungu iepushe nchi hii na roho na mauti na machafuko ya kijamii