Bila economic freedom democrasia ni fujo tupo

maganjwa

JF-Expert Member
Sep 11, 2012
2,800
2,337
Wanajamvi amani iwe kwenu.
Mwalimu nyerer alisema uhuru bila mipaka ni fujo ila kwa dunia ya leo bila economic freedom hakuna democrasia ya maana kwa sababu hakuna uhuru wa kutembea watu na kufanya biashara ya kimataifa

Hii ndo sababu kubwa ya watu kufurahia democrasia
 
Back
Top Bottom