Ni ukweli kwamba CCM ina wafuasi sana katika mikoa fulani hasa ya tambarare na Pwani na pia Unguja. Mikoa kama Lindi, Mtwara, dodoma vijijini, tanga, unguja nk ni vigumu sana chadema kushinda huko. Lakini pia maeneo haya ndio CUF ina wafuasi. Sasa ili chadema ishinde lazima CUF iwe na nguvu ili katika maeneo hayo wagawane na CCM angalao CUF 40% CCM 60%.
Kazi waliyonyo chadema ni kuwaelimisha watanzania wote wajue malengo, madhumuni, nia thabiti na wajibu wa chadema katika harakati za kumkomboa mtanzania wa kawaida bila kujari mkoa atokako, dini yake wala jinsia. Kazi ya chama makini ni kuhakikisha kinaelimisha watu mpaka wanelewa na kukiunga mkono na sio kuegemea nguvu ya vyama vingine hasa vinavyo amini katika misingi ya dini na mikoa kadhaa. Pole Mtatiro kwani nguvu ya chadema kwa sasa haizuiliwi popote na kwa lolote.
Maitario a.k.a Mtatiro,
Analysis yako haina mashiko kabisa Mkuu. Mbona CHADEMA imeweza kuongoza kambi ya rasmi ya upinzani bungeni CUF ikiwa dhaifu? Pia assume majimbo yote ya TANGA, LINDI, MTWARA, PWANI, DODOMA na UNGUJA wanashinda CCM. Je ndio tiketi ya CCM kushinda Uchaguzi Mkuu 2015? CHADEMA tunauwezo wa kushinda uchaguzi 2015 bila hata ya kushinda jimbo moja mikoa hiyo.
Nadhani wewe mwenyewe ndiye uliyelichukulia jambo hili juujuu. Chama cha saisa hakiwezi kuwa chenye nguvu iwapo kinategemea nguvu hizo kutoka katika chama kingine cha siasa. Ukiona unaanza kutafuta ushindiw a kimahesabu namna hivyo, basi fahamu kuwa chama chako si imara na hakina nguvu. Chama chenye nguvu kinasimama chneywe na kushinda hata kama kutakuwa na vyama vingine, kama ilivyotokea Arumeru Mashariki na sehemu nyingine.Kwa wale wanaochukulia mambo juujuu bila kuchambua kwa kina hawawezi kunielewa. Ni ukweli kwamba CCM ina wafuasi sana katika mikoa fulani hasa ya tambarare na Pwani na pia Unguja. Mikoa kama Lindi, Mtwara, dodoma vijijini, tanga, unguja nk ni vigumu sana chadema kushinda huko. Lakini pia maeneo haya ndio CUF ina wafuasi. Sasa ili chadema ishinde lazima CUF iwe na nguvu ili katika maeneo hayo wagawane na CCM angalao CUF 40% CCM 60%. Kupanuka kwa CUF si tishio kwa Chadema bali CCM hivyo kwa maoni yangu ni vizuri tuisaidie CUF irudishe hadhi yake ili wapambane na CCM katika maeneo ambayo ni no fly zone kwa chadema. Nimebahatika kutembelea baadhi ya maeneo haya na nilikuwa Tanga last week baadhi ya watu wanaiona Chadema kama chama cha wakristo na ni ngumu kuwabadili mawazo. CUF wanaweza kuwabadili tukapunguza mtaji wa ccm! Tutafakari
We wasema usilojua au inawezekana umekaririshwa! Chadema wadini na kwa sera hii magogoni CDM itaenda kwa kuomba kuonana na rais tu! fullstop.
ikulu akupeleken nan?labda muandike barua ya kuonana na rais mkanywe chai na juice
HAYA MTATIRO. SASA UNATAKA CHADEMA WAKUSAIDIEJE?
wawafuate wananchi na kuwaambia jiungeni na CUF?