Bila connection unaweza kukosa chakula hata msibani

Bila connection unaweza kukosa chakula hata msibani

msela kuntu

Senior Member
Joined
Jun 28, 2019
Posts
116
Reaction score
183
Kweli mjini kila kitu mpaka sapoti nina ndg yangu kapita MGAMBO na JKT na anacheti cha form 4 ila anatafuta kazi mwezi wa saba tena kazi ya ulinzi mpaka naamini bila connection unaweza kukosa chakula hata msibani

Sent from my CPH1803 using JamiiForums mobile app
 
Halafu huyo ******** anadai tangu 2015 viwonder 8477 vimeanzishwa Nchini.
🤔🤔🤔
Naamini ndiyo maana vijana tukipata chansi tunajitoa akili, tunalamba viatu vya wanasiasa mradi tusirudi kule.

Kule ni hovyo. Kule ni ikifika siku ya kulipa bili unahama chumba kwa muda unaenda kulala kwa marafiki.
 
Back
Top Bottom