Pole sana kiongozi, maisha yana mapito mengiOyiiii nimewai mfundisha mtu kazi TANESCO ten alikuwa hajui hata kushika mouth ya computer nimemuelekeza kila kitu jamaa alikuwa msoma mita mm shule nimekwenda na Kaz nafanya vzr San wale vijana nilowaelekeza bila kinyonga huku boss akiniahid kuwa atafanya mpango nibaki pale kipindi kile hakukuwa na mambo ya interview za tume
Siku Moja wale vijana wamesha juwa Kaz kila kitu nashanga wakaletewa cheque namba kutoka makao makuu taayari wameajiriwa kipind hcho feliscni mramba ndio director mkuu wa tanesco yetu ..jmn baada ya muda nikaambiwa niondoke kwani Kaz ninayo fanya hapo wamepatikana watu wakufanya nilihudhunishwa sana Kisha nikarudi kijij kupambana na msoto na msongo wa mawazo
Nalaani hicho kitendo mkp leo na siajwai kanyaga tanesco mpk dakika hii nikiwa na shida namtuma mtu
Ila mungu akanipigani kipata kibarua sehemu fln ila Ni baada ya msoto mrefu mno
Sent from my Infinix X650 using JamiiForums mobile app
Miaka yetu tulimaliza chuo na kuingia kazini. Ila sasa hivi waalimu kibao mtaani hawana ajira.Uwalimu siyo deal tena kivip fafanua?
Swala ni hela, ukiwa na hela hukosi kaziJe tuna vyuo vingap vinahizo kozi ambazo sio za halaiki
Kwa sababu ya nafasi chache za ajira 'rasmi' zisizoendana na ongezeko la watu.Kwa nini maisha yamefikia hali hii ?
Inategemea bruhSwala ni hela, ukiwa na hela hukosi kazi
Hela ina create strong connections kama pia una good character ๐๐.. Maana unaweza kuwa na hela alafu una bad characterInategemea bruh
Una hela ila mkuu wa idara ana mtoto wa dada yake sasa hapo unadhani itakuaje damu nzito kuliko maji utabaki na kibunda chako ๐
Ooh hiyo ni hali ya mapito tu hali hii si mala ya kwanza Tz kutokea hata kipindi cha utawala wa mkapa walimu walihitimu vyuo waakaa mtaani sana tu JK ndie akaja okowa jahaziMiaka yetu tulimaliza chuo na kuingia kazini. Ila sasa hivi waalimu kibao mtaani hawana ajira
.
NimekupataHela ina create strong connections kama pia una good character ๐๐.. Maana unaweza kuwa na hela alafu una bad character
Character huwa zinawatoa walipo wekwa au ku stuck sehemu flani milele na milele, achana na kitu kinaitwa rank, kuna sehemu kubebwa hakubebeki tena inabaki character tu ndio mtetezi wakoNimekupata
Pesa ina nguvu ila sio kila mahali bruh mtu hana character wala uwezo ila unamkuta kapewa kitengo na uwezo wa pesa anao ila hajatoa kitu ni KoNneCtion tu ๐
Sijataja hata mojaKama ulozi sio ?
Na utapeli pia haukosekani hapo kwenye helaSwala ni hela, ukiwa na hela hukosi kazi
At least umewaza vemaJe tuna vyuo vingap vinahizo kozi ambazo sio za halaiki
Dunia ni uwanja wa vitaNa utapeli pia haukosekani hapo kwenye hela
Me wakati nachapa lapa kusaka ajira nikakutana na kauli mbiu yako toa hela tukupe kazi nikasema mshahara wangu wa kwanza nitatoa asilimia kadhaa Kama ahsante jamaa akachomoa anataka hela fasta pumbavuu saiv nafuga zangu kuku utajiri nje nje[emoji2][emoji2]Dunia ni uwanja wa vita
Kutafuta kazi nayo ni kaziDunia ni uwanja wa vita
Uamuzi mujarabu kabisa ulichukua nakupaje hela bila kazi, huyo alikuwa mbwekajiMe wakati nachapa lapa kusaka ajira nikakutana na kauli mbiu yako toa hela tukupe kazi nikasema mshahara wangu wa kwanza nitatoa asilimia kadhaa Kama ahsante jamaa akachomoa anataka hela fasta pumbavuu saiv nafuga zangu kuku utajiri nje nje[emoji2][emoji2]
๐๐จ๐ฅ๐ ๐ฌ๐๐ง๐ ๐ค๐ฎ๐ฆ๐๐ ๐ง๐๐ข๐จ ๐ข๐ค๐จ ๐ก๐ข๐ฏ๐ข?Oyiiii nimewai mfundisha mtu kazi TANESCO ten alikuwa hajui hata kushika mouth ya computer nimemuelekeza kila kitu jamaa alikuwa msoma mita mm shule nimekwenda na Kaz nafanya vzr San wale vijana nilowaelekeza bila kinyonga huku boss akiniahid kuwa atafanya mpango nibaki pale kipindi kile hakukuwa na mambo ya interview za tume
Siku Moja wale vijana wamesha juwa Kaz kila kitu nashanga wakaletewa cheque namba kutoka makao makuu taayari wameajiriwa kipind hcho feliscni mramba ndio director mkuu wa tanesco yetu ..jmn baada ya muda nikaambiwa niondoke kwani Kaz ninayo fanya hapo wamepatikana watu wakufanya nilihudhunishwa sana Kisha nikarudi kijij kupambana na msoto na msongo wa mawazo
Nalaani hicho kitendo mkp leo na siajwai kanyaga tanesco mpk dakika hii nikiwa na shida namtuma mtu
Ila mungu akanipigani kipata kibarua sehemu fln ila Ni baada ya msoto mrefu mno
Sent from my Infinix X650 using JamiiForums mobile app
๐๐๐ง๐๐๐ก๐จ๐ค๐ข๐๐๐ง๐ฒ๐ ๐ฌ๐ข๐จ ๐ค๐ข๐ณ๐ฎ๐ซ๐ข ๐๐ฌ๐๐!!Wanajamvi nawasalim,
Katika vitu nimejifunza tujitahidi sana kama vijana kufanya kazi kwa bidii huku tukiwaandalia watoto wetu mazingira mazuri ya biashara, kama umemsomesha aje kuajiriwa basi fanya juu chini tengenza connection.
Vijana wengi baada ya kumaliza vyuo na kutofanikiwa kupata ajira permanent huamua kujitolea katika taasisi mbalimbali za serikali wengine kwa juhudi nidham na weledi wanaouonesha kazini hupandishwa hadi vyeo, changamoto kubwa inayowapata hawa watu ni kutokuwa na mzizi wenye connection nini namanisha ni hivi.
Unamkuta huyo mtu ni mtu mwenye cheo katika taasisi kutokana na uimara wake nidham na weledi inatokea serikali kupitia utumishi wanatangazi nafasi za kazi katika hiyo taasisi.
Kijana anaomba nafasi hiyo pamoja na wengine wanaitwa kwenye udahili kijana anajikuta hajapita au kuchaguliwa kwenye udahili anachaguliwa mtu mwingine kabisa anapata ile nafasi kijana anarudi kwenye nafasi yake ya kujitolea na kauongozi alikoteuliwa.
Waajiriwa wapya wanaripoti kazini na anapangiwa kwenye kitengo aliyopo yule kijana anaejitolea ambae hakuchaguliwa kijana anae jitolea anapewa majukumu ya kumfundisha kazi muajiriwa mpya na kumpa uzoefu wa kazi ambayo yeye aliiomba na hakuchaguliwa kwa kuambiwa hana vigezo hajafaulu interview (DUNIA HAIKO FAIR)
Kijana anaejitolea anafundisha kazi muajiriwa mpya na kumsimamia katika kazi.
Huyu kijana anaejitolea maumivu anayoyapata ni sawa na kumwagiwa pilipili na chumvi kwenye kidonda kibichi.
Kama mdau nashauri wazazi tuwatengenezee vinana connection wanafanya vizuri lakini hawapati nafasi.