Peterson jr
Member
- Jan 6, 2018
- 12
- 7
Amani iwe nanyi, ni takribani miaka miwili tangu uchaguzi mkuu umalizike 2015. Ukweli usiopingika ni kwamba bila CHADEMA imara na Muungano wa vyama vyama "ukawa" Leo hii magu asingekuwepo ikulu.
Namshari mtukufu na ccm kwa ujumla kwamba wasiue upinzani wawaruhusu nao wafanye siasa kama CCM kwa ni hawa ndo waliibua ufisadi wa nchi hii na kupiga kelele tunaibiwa japo walitukanwa na wana CCM lakini Leo watanzania wamejua kua tunaibiwa na wazungu na agent wa wazi hao ni CCM wenyewe.