Bikra Imenifunga Mwenzenu!!

Don trust a woman who says is a virgin until da day u see blood, Mwenzio wangu nshamtoa japokua nilikua siamin alivyokua ananiambia acha kuchakarka utashika mapembe mpaka ukome af usipoikuta cjui atakuambia imeibiwa au imeenda wap!!!!
WAKEUP MAN!!

Unanitamanisha Mkuu..Nafanya Mchakato Nami Najivua Ukarimu!
 
Nimekupata Mkuu...Shukran!
Ila Naombeni Mnisaidie Jinc Ya Kumjua Mwanamke Bikra Mbali Na Uthbitisho Wa Kinywa Chake!

ubikra wa mwanamke huwezi kujua kwa kuambiwa isipokuwa wakati wa tendo la ndoa atakuwa muoga na atapata maumivu pale uume utakapoingia ktk uke wake na kama hujamuandaa vzr inaweza ikamsababishia michbuko katk uke hivyo inbaidi uwe makini kama utapata chance hyo n akweli kama ni bikra
 
anaweza akawa anasema ukweli kuwa ni bikra mana huna jinsi ya kuhakiki hilo zaidi ya kukutana naye kimwili pia swala na nguao na nywele we ongea naye akueleze anapopata hizo fedha may be familia yake inampatia. hamna jinsi nyingine ya kuelewa mambo yake zaidi ya kumuuliza na kumchunguza kujua kama anachokiongea ni kweli au la. unaweza kupewa ushauri wa aina nyingi humu ila anayemjua GF wako kwa uhakika ni wewe be careful katika hilo usije ukapoteza mtu mzuri au ukaingia katk shimo kama hautakuwa makini. maisha ya mahusiano ni magumu sana busara ya hali ya juu yaitajika katia hilo. kila la heri
 
we Ngoja Mkuu
Lazima Niweke Juhud Nitafanikiwa!
 
ni Kweli Usemacho Mkuu...Uchunguzi Ni Muhimu Kabla Ya Maamuzi
Nitafanyia Kazi Maneno Yako,
Shukran!!!
 
Majigo, kwa maelezo uliyotoa hapo ni kweli kabisa, issue yako ni very simple sana, kwa nyakati tofauti nilishawahi kuwa na uhusiano na mabinti 3 (wote bikira) nikawa-do wote (they said same words kama huyo wako), ila mmoja ndio bahati mbaya/nzuri kawa wife..
Hapa naogopa kumwaga mchele kwenye kuku wengi.., nipe contact za huyo Gf wako atakuletea majibu baada ya 2weeks, na mimi nitakujulisha kama ni birira au la within 5days?
 
Kunyangisiiii, hapo kaka unakwibiwaaaaaaaaa, (kama vp baka utajua ukweli kaka) anatafuta ndoa huyo hana lolote, kama vp nendeni kwa wa2 ambao mtawafanya mashaidi ili udoo nae akiwa bikra umuowe tena very soonest na akiwa mwongo hapohapo kila mmoja anashika way lake na hakuna kujuana maana wamelia wengi kwa mitindo kama hiyo ndugu Shitka
 
Kwani weye unadhani anakupenda mpaka ufanye naye ngono tu? Sijui weye ni dini gani lakini amri ya 7 inasema usizini. Kama anajiamini ni bikra subiri mwoane!
 
Majigo, kwa maelezo uliyotoa hapo ni kweli kabisa, issue yako ni very simple sana, kwa nyakati tofauti nilishawahi kuwa na uhusiano na mabinti 3 (wote bikira) nikawa-do wote (they said same words kama huyo wako), ila mmoja ndio bahati mbaya/nzuri kawa wife..
Hapa naogopa kumwaga mchele kwenye kuku wengi.., nipe contact za huyo Gf wako atakuletea majibu baada ya 2weeks, na mimi nitakujulisha kama ni birira au la within 5days?

my Gal Contact....What's goin' On!!!!!?
 
Back
Top Bottom